Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

Hawezi kuwa amelaanika mtu aliyeagwa na mamilioni.

Ukisoma maoni JF unaweza ukadhani huko mtaani kuna akili kama za humu kumbe tofauti kabisa.
Ndivyo ilivyo walimuaga kama mfuasi wa freemason tu. Huwa wanafanya kampeni aagwe kwa wingi kama walivyotembeza mwili wake kila mtaa nchi nzima.šŸ¤£šŸ¤£
 
Mkuu kuunganisha umeme kabla ya hayati ilikuwa tshs 454,000 sasa hivi ni tshs 27,000 kama umeshafikia umri wa kujitegemea utaelewa alichokifanya hayati.

Katengeneza meli za ziwa Victoria ambazo zilikuwa zimekufa kwa miaka mingi tu.

Kafufua shirika la ndege lilikuwa limekufa, watalii na wafanyabiashara wanaelewa nini maana yake.
Acha uongo. Nimeunganisha umeme kijijini kwa sh laki tatu. Hizi stori za 2700Tsh ni za mataga.
 
Mwenda zake alaniwe kwakweli. Alimkosesha bro angu ubunge hivi hivi. Nasikuhuzuni nilipo sikia kavuta waya. Naingoja 2025
 
Back
Top Bottom