Bila Hayati Magufuli; Wabunge, madiwani na wenyeviti wa vitongoji leo wasingekuwa kwenye hizo nafasi

Tena mumshukuru sana...amewaletea maendeleo huko muache unafiki.

Musoma nimekaa kama miaka nane iliyopita..nilirudi kuwajua hali wana huko mwaka jana nikakuta maboresho makubwa sana!

Ile hospital yenu kaikarabati

Barabara kazipalilia haswa...tena maeneo ya nyasho hapo nilipotea.

Nilishangaa kawawekea na mataa ya barabarani.

Mwisho nataka nikuoe upo tayari? Tuyajenge mummy
niko tayari lkn huna hela!!
 
Huyu shetani atasimangwa mpaka vizazi na vizazi kwa dhuluma zake dhidi ya watanzania
Legacy yake ni ya uovu. Huko mbeleni, utawala wa awamu ya tano, utatajwa kama kipindi cha giza, kipindi ambacho shetani alijitwalia utukufu Tanzania kwa kukalia nafasi ya juu ya nchi.
 
Uzuri sisi tunaoitwa wazandiki tulimwambia isipokuwa alikuwa haambiliki.Ngoma tunayopiga huku mitandaoni mirindimo yake huwafanya walazimike kucheza na kudemka.Nia yetu ni,njema na mitandao ndiyo the only option we had to address issues.
Mh.Rais Samia S.Hassan, sikiliza wasemacho waliopo mitandaoni maana sasa hivi hakuna Bunge,Madiwani wala Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.Wote walipatikana kwa njia haramu na kwa jinsi hiyo hawawakilishi wapiga kura/Wananchi.
Nchi yetu inahitaji Katiba Mpya na mihimili ya serikali inayojitegemea na huru.Tunaimani na Rais wetu Samia kuwa atatuletea Suluhu ya kudumu kwa ustawi wa Taifa letu.
Mwenyezi Mungu akujaalie "Subra" ili utende kwa Haki.
Kabisa mkuu. Unajua wengi bado hawajagundua kuwa na kiongozi mwenye busara na upeo mkubwa ni afya kwa maendeleao ya nchi. Watanzania ni watu waoga sana hata wakiporwa viongozi waliowachagua kwenye uchaguzi hawa-react. Hili linafanya rais, kama ni mjinga adhani ana uwezo wa kufanya lolote na kupitisha wagombea anaowapenda kinguvu. Tuombe Mungu amuongoze na kumpa busara mama Samia ili ajue kuwa pamoja na nguvu zote alizonazo lakini haki ndiyo msingi wa maendeleo.
 
Ongeza Kawe, pemba yote na kadhaa ya unguja, Muheza, mikumi, Mtama kwa Nape, Ifakara, Kilombero, Arusha na Kilimanjaro yote, Dar yote, Mbeya yote, Dom wangegawana pasu, Mwanza pasu, Geita pasu, Pwani pasu, Moro pasu.
Dogo ongeza, ongeza ya nini? Sema mngechukua ubunge nchi nzima na urais juu. Lakini kutokana na umahiri wa JPM na uchapakazi wake uliokubalika na Watanzania, sasa hivi mgombea wenu Lissu yupo ughaibuni kwa aibu na Wabunge wa CCM wametamalaki Bungeni! Ninyi mmebaki kuota tu! Ahahahahahahahahaha!!
 
Legacy yake ni ya uovu. Huko mbeleni, utawala wa awamu ya tano, utatajwa kama kipindi cha giza, kipindi ambacho shetani alijitwalia utukufu Tanzania kwa kukalia nafasi ya juu ya nchi.
Hiyo itatokea iwapo Lissu akiwa Ubeleji ataota ni Rais na Shogaake Amsterdam ni PM wake! Ahahahaahahahahah!!!
 
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.

Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Kwa mifano michache tu wabunge wafuatao kamwe wasingerudi Bungeni kama ubabe wa hayati Magufuli isingetumika.

1. Ndugai
2. Lukuvi
3. Mkuchika
4. Mbunge wa Kilwa ( kule kwa bwana Bwege)
5. Tulia Ackson
7. Mbunge wa Ikungi( kwa Lissu)
8. Mbunge wa Hai
9. Mrisho Gambo
10. Mbunge wa Mikumi
11. Mbunge wa Iringa mjini
12. Mbunge wa Mbarali
13. Mbunge wa Kigoma mjini ( kwa Zitto Kabwe)
14. Salma Kikwete
15. Wabunge Pemba yote
16. Majimbo 10 Unguja
17. Mwita Waitara
18. Askofu Gwajima
19. Mkoa wa Lindi wote except ( Mtama na Ruangwa)
20. Mkoa wa Mtwara wote (except majimbo matatu tu).
21. Mbunge Bukoba mjini
22. Abood (Morogoro mjini)

Hiyo ni mifano michache, lakini 40% ya wabunge waliopo Bungeni wamebebwa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.

Sasa maadamu Mama Sami S Hassan ataruhusu watu wachague kwa haki, tuombe uzima 2025 muone kitakacho watokea CCM.
Kura zilizopigwa siku mbili kabla zikimpa ushindi magufuli mfno pale kinondoni ofisi za ccm watoto walichukuliwa mitaani kwenda kupiga kura kabla ya zoezi ( ushahidi upo waliahidiwa left 5000 na hawajapewa mpaka leo) TISS WANAJUA HILIKibondo jango la maendleo shughuli hii ilifanyika .
Wasimamizi wakuu waliingia na kura saa 9 usiku huku makada wengine walipiga Vituo vyote na kura zilizopigwa)
Halima mdee alikamata mabox ya kura pale kunduchi...
Aibu
 
Mimi hofu yangu ni ni hii: Huu ujinga wa kuendesha uchaguzi wa kiharamia na kupitisha wagombea kwa nguvu za dola usije kuwa ndiyo ''norms'' mpya kwa nchi yetu. Yaani isijekuwa hata mama Samia naye atakuwa amejifunza na yuko tayari kufanya hivyo hivyo. Unajua miaka ya nyuma bado kilikuwa na wizi lakini angalau ulikuwa siyo uporaji kama huu. Na mbaya zaidi wameshajua kuwa wananchi hawawezi kufanya lolote. Hapa tutegemee tu busara za mama Samia za kujua kuwa uchaguzi huru na wa haki huzaa viongozi bora hivyo kufanya kinyume chake ni kujichimbia kaburi mwenyewe.
Huku msikia kasema yeye na marehemu ni kitu kimoja? tegemea mabaya zaidi
 
Legacy yake ni ya uovu. Huko mbeleni, utawala wa awamu ya tano, utatajwa kama kipindi cha giza, kipindi ambacho shetani alijitwalia utukufu Tanzania kwa kukalia nafasi ya juu ya nchi.
Naam barabara kabisa!.Itakumbukwa daima kuwa hatukuwahi kupata mfalme ambaye ni juha na fedhuli
 
Uzuri sisi tunaoitwa wazandiki tulimwambia isipokuwa alikuwa haambiliki.Ngoma tunayopiga huku mitandaoni mirindimo yake huwafanya walazimike kucheza na kudemka.Nia yetu ni,njema na mitandao ndiyo the only option we had to address issues.
Mh.Rais Samia S.Hassan, sikiliza wasemacho waliopo mitandaoni maana sasa hivi hakuna Bunge,Madiwani wala Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.Wote walipatikana kwa njia haramu na kwa jinsi hiyo hawawakilishi wapiga kura/Wananchi.
Nchi yetu inahitaji Katiba Mpya na mihimili ya serikali inayojitegemea na huru.Tunaimani na Rais wetu Samia kuwa atatuletea Suluhu ya kudumu kwa ustawi wa Taifa letu.
Mwenyezi Mungu akujaalie "Subra" ili utende kwa Haki.
Na tutasema sana tu mkuu.Tunajua tunawauzi tumbili wachache humu lakini ndio hivyo watusamehe tu.Nchi ilikuwa ni.mali ya mtu mmoja sio ya watanzania milioni kadhaa hii ndio tafsiri ya mtu kutotaka kutotaka kutowasikiliza wengine
 
Legacy yake ni ya uovu. Huko mbeleni, utawala wa awamu ya tano, utatajwa kama kipindi cha giza, kipindi ambacho shetani alijitwalia utukufu Tanzania kwa kukalia nafasi ya juu ya nchi.
Sijui ilikuwaje taifa la Tanzania likanaswa kwenye mikono ya hilo Dubu la Chattle.
 
Na tutasema sana tu mkuu.Tunajua tunawauzi tumbili wachache humu lakini ndio hivyo watusamehe tu.Nchi ilikuwa ni.mali ya mtu mmoja sio ya watanzania milioni kadhaa hii ndio tafsiri ya mtu kutotaka kutotaka kutowasikiliza wengine
Tuendeleze kutetea Mambo yatendeke kwa Haki na Utu wa kila Mtanzania uheshimiwe.Raslimali za nchi zinufaishe Watanzania wote baada ya kuendelezwa ipasavyo.
Sifahamu kwa nini viongozi wamejibadilisha kuwa watawala?Hakuna viongozi wa kusikiliza na kujadiliana na Wananchi namna ya kujiwekea vipaumbele vya kijamii.Mwenyekiti wa kijiji,Diwani,Mbunge na hata Rais anakuwa mpanga vipaumbele.Anapeleka hoja anazodhani ndicho Wananchi wanahitaji.Vikao vingi vinashughulika na failures, kama siyo fedha imeliwa basi kazi ni chini ya viwango nk.
Tutumie hizi online forums kama mikutano ya mashauriano labda itasaidia.Wenye roho nyepesi kukosolewa wanapanga kui sensor tukose sehemu ya kupumulia nyongo.Duh!Tanzania nchi Nzuri.
 
Akafanye na ubabe wake motoni sasa, maana yake hata kwa Mungu hajaenda asijeakaendeleza ubabe wake mbinguni,Mungu akapata kazi nyingine ya kumushusha kuzimu kama shetani.
nakuunga mkono umeandika ukweli mtupu sisi waislamu tuna sema mungu atamlipa anavyostahili na hakuna ila ni moto tu kwa aliyoyafanya katika kipindi cha miaka 5 mazuri yote aliyofanya yanafutika kwa mauwaji na dhulma alizotufanyia.
 
Tena mumshukuru sana...amewaletea maendeleo huko muache unafiki.

Musoma nimekaa kama miaka nane iliyopita..nilirudi kuwajua hali wana huko mwaka jana nikakuta maboresho makubwa sana!

Ile hospital yenu kaikarabati

Barabara kazipalilia haswa...tena maeneo ya nyasho hapo nilipotea.

Nilishangaa kawawekea na mataa ya barabarani.

Mwisho nataka nikuoe upo tayari? Tuyajenge mummy
Muraaa!! Uko tayari kwa rikipigoo??
Huku kwetu bana ni ndondi haswa!!

Mateke.ngumi mishale! Mikuki ndo Zetu. tulivo haswaa!! hatutaki kuremba. Kwanza

Hatutawazi Sijui na vimaji vya hiriki bali ni mwendo wa kujitawaza kwa miti majani au kavukavu yanakaukia humohumo!! Sababu
Chakula yetu ya asili ni Mahemba tu! Na mwili wa ng'ombe kichure kwa sana. Tunatoa haja wasafiii!!

Je utaweza muziki huu? Then!
Lazima tukupime kwanza kabla. je? u janaume hasa!
mwanajeshi tosha kulinda familia?? Je Unaweza bhita ni bhita?Siyo mpaka uwe JWTZ no!! hapahapa! Tunakupima kikwetu.
Jiandae km unajiamini nikupe connection uje!! Kwetu Ni hapo tu Kenyamanyori njia ya kueleka kiribho!!

Siyo majaribu ukifanya masihara unaweza usirudi kwenu mzima kisa kuchumbia.kazi kwako....
 
Back
Top Bottom