Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,744
Pamoja na kwamba Chama tawala usaidiwa na mifumo iliyojiwekea (Polisi,Tume ya uchaguzi na katiba isiyokidhi mahitaji ya wakati uliopo) bado kuna kundi/eneo kubwa zaidi linalofanikisha ushindi wa ccm kwenye chaguzi,hasa uchaguzi mkuu.
Sababu kuu ya ushindi wa ccm ni DINI(UDINI),hasa dini kuu mbili Uislam na Ukristo.
Kwenye Ukristo,hapa main character ni dhehebu la catholic,hawa wamekuwa waki-influence sana siasa za Tanzanaia na hasa ukizingatia kila anapopatikana rais mkristo basi lazima atakuwa mkatoliki.
Na anapokuwa rais ni mkatoliki (mkristo) hata kama utendaji au uongozi wake una kasoro hutasikia kauli za kuonya wa kuchukizwa toka upande huu.
Kwa Waislam wao miaka nenda rudi wamekuwa upande wa chama tawala,pamoja na malalamiko yao ya mfumo kristo bado wamekuwa karata turufu ya ushindi wa CCM wamekuwa wakiwageuza wanavyotaka tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Wao wamekuwa kama fisi na kuponzwa kwa ahadi na matarajio ambayo ni hewa toka kwa wanasiasa mafundi ndani ya chama tawala,kwao kwa kudhani kuwa rais akiwa muislam ndani ya CCM basi ufumbuzi na matarajio yao yatapata dawa.
Matokeo yake; Rais akiwa muislam utasikia kelele,ukosoaji na malalamiko mengi hadi walaka wa kanisa utatolewa toka upande wa kanisa,hasa kanisa kubwa (Catholic church) na vilevile rais akiwa mkristo(toka catholic church) utasikia kelele kuhusu MoU,mfumo kristo na kutengwa kwa waislam,hatima ya haya yote ni ccm ndie mnufaika.
Watanzania lazima tukubali bial CCM kukaa nje ya mfumo wa utawala hata kwa awamu moja,mabadiliko,matamanio tunayoyaota au kuyatamani yatokee nchi ni ndoto.