Bila CCM madhubuti upinzani imara nchi yetu itayumba...

Baada ya uchaguzi mkuu kumalizika 2015 hadi leo hii 2017 miaka miwili CHADEMA kimekuwa chama ambacho hazipiti siku mbili lazima utasikia leo wanaanzisha jambo hili kesho jambo jingine. Kesho kutwa utasikia jingine ili mradi yaani haiwezi kupita siku bila kusikia CHADEMA wakisema.

Lakini wakati CHADEMA wakifanya haya vipi kuhusu vyama vya ACT, NCCR,CUF,NLD,TLP,UDP,CHAUSTA, havisikiki kabisaa angalau kidogo CUF kupitia mgogoro wa Lipumba na Seif inasikikaaa.

Swali langu jee hii ina maana bila chadema tanzania upinzani usingekuwepo.
 
baada ya uchaguzi mkuu kumalizika 2015 hadi leo hii 2017 miaka miwili chama cha chadema kimekuwa chama ambacho hazipiti siku mbili lazima utasikia leo wanaanzisha jambo hili kesho jambo jingine
keshokutwa utasikia jingine ili mradi yaani haiwezi kupita siku bila kusikia chadema wakisema.

lakini wakati chadema wakifanya haya vipi kuhusu vyama vya ACT, NCCR,CUF,NLD,TLP,UDP,CHAUSTA,
havisikiki kabisaa angalau kidogo CUF kupitia mgogoro wa lipumba na seif inasikikaaa.

swali langu jee hii ina maana bila chadema tanzania upinzani usingekuwepo
Tulitegemea ACT ingeleta hamasa,nacho ni bure kabisa zaidi ya umbea dhidi ya serikali. CUF imevunjika vipande vipande. NCCR imesinzia Kama haipo vile. NLD, UDP almost vifu, vimebaki majina tu.Kwahiyo tumebaki na CDM tu chenye kuonesha kauhai kidogo !
 
Tulitegemea ACT ingeleta hamasa,nacho ni bure kabisa zaidi ya umbea dhidi ya serikali. CUF imevunjika vipande vipande. NCCR imesinzia Kama haipo vile. NLD, UDP almost vifu, vimebaki majina tu.Kwahiyo tumebaki na CDM tu chenye kuonesha kauhai kidogo !
jee unadhani kama chadema isingekuwepo hivi ingekuwajee
 
Chadema hata isipokuwepo upinzani upo tu, kwa ulimwengu wa sasa ni ngumu kutokuwa na mawazo yanayokinzana
 
Hivi itakuwaje kama upinzani nchini utapotea na kubakia chama kimoja tena?

Hivi itakuwaje kama siku moja akina Lissu, Mbowe, Maalim, Mbatia, Zitto, Msigwa, Sugu, Mdee na wengine nao wakichoka na kuamua pia kukaa kimya au wakurudi CCM kiaina kama akina Prof na Dr?

Nadhani siku ikitokea hivyo hakuna ambaye hatasonya isipokuwa wachache sana.

Bila kujali chama, elimu, jinsia, umri, dini wala kabila wote tunahitaji vyama vya upinzani viwepo na vishamili hapa nchini, hasa katika kipindi hiki ambacho mawazo, fikra na nguvu za mdomo za akina Mwl. Nyerere hazipo tena.
 
Hakyanani hii operesheni irudi tu nitashiriki kwa nguvu zangu zote maana hii nchi wapinzani mnafutwa mkionwa
Tangazeni operesheni kama ya ukuta hakika watanzania tutawaunga mkono kwa asilimia mia
Upinzani na demokrasia inakiukwa huku tukiona
Nasema bila hii operesheni watanzania hakuna njia nyingine ya kupata haki na demokrasia
Naombeni operesheni ya ukuta irudi
Nawasilisha
 
mods huu uhuni mlionifanyia kuhamisha thread yangu na kuileta huku mungu anawaona
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom