Akina umber luty piga keleleeeeee
Habari Wakuu!

Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.

Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.

Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.

Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.

Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.

Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
 
Hii mada inadhalilisha dada zetu. Nina dadangu kwa jinsi walivyomkunjana wanaume huwa nahisi huruma sana kwa mumeo aliyemuoa , wakati mwingine nawaza niwashauri wazazi tumrudishie mali zake alizotoa, lakini nashindwa
 
Haimaniishi wote wafanye hivi ila this woman went an extra mile duh...
Screenshot_20181121-221236.jpeg
Screenshot_20181121-221439.jpeg
 
..ni ujinga kwa mwanaume kutaka kuoa.mwanamke bikra haliyakuwa ww si bikra na bikra yako imetoka kwa kutoa bikra za mabint WA watu...

In this life u get what you deserve, stay cool..
Acha kupotosha watu! Hivi wewe huoni mwanamke anaetoka nje ya ndoa anaitwa Malaya lakini mwanamme haitwi
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Fact
 
Hapa mimi ndiyo namshangaa yule jamaa aliyejitoa muhang kumchukua Wema, kwa kweli anasikitisha. Hivi Mshana Jr kuna uwezekano wa kumuombea mtu kupitia njia ya mtandao akapevuka au kuhamka hata kama kalishwa dawa pori/miduduwasha ya kina Mama?
 
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom