Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,785
Ni nani hata amekwambia kwamba hao Wanawake uliowataja wanapenda au lengo lao maishani mwao ni kuolewa?
Kuna watu wameridhika na maisha yao jinsi yalivyo kama wewe labda ulivyoridhika na yako, waache watu wawe jinsi wanavyotaka kuwa, wewe weka hiyo bikira na subiri Mwanamke/Mwanaume ambaye mtafanana yaani wote bikra muoane muwe na furaha kama wengine walivyo na furaha kuishi bila bikira na siyo ishu kwao!