Bila Bikra ndoa kwako ni bahati/Neema

Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
2,741
Likes
2,615
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
2,741 2,615 280
Habari Wakuu!

Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.

Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.

Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.

Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.

Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.

Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,506
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,506 280
Ni nani hata amekwambia kwamba hao Wanawake uliowataja wanapenda au lengo lao maishani mwao ni kuolewa? Kuna watu wameridhika na maisha yao jinsi yalivyo kama wewe labda ulivyoridhika na yako, waache watu wawe jinsi wanavyotaka kuwa, wewe weka hiyo bikira na subiri Mwanamke/Mwanaume ambaye mtafanana yaani wote bikra muoane muwe na furaha kama wengine walivyo na furaha kuishi bila bikira na siyo ishu kwao!
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
2,741
Likes
2,615
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
2,741 2,615 280
Ni nani hata amekwambia kwamba hao Wanawake uliowataja wanapenda au lengo lao maishani mwao ni kuolewa? Kuna watu wameridhika na maisha yao jinsi yalivyo kama wewe labda ulivyoridhika na yako, waache watu wawe jinsi wanavyotaka kuwa, wewe weka hiyo bikira na subiri Mwanamke/Mwanaume ambaye mtafanana yaani wote bikra muoane muwe na furaha kama wengine walivyo na furaha kuishi bila bikira na siyo ishu kwao!

Mtoto wako wa kike akikua utaelewa maana ya kuolewa. Usichukulie Powa.
 
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
18,214
Likes
17,506
Points
280
Barbarosa

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
18,214 17,506 280
Mtoto wako wa kike akikua utaelewa maana ya kuolewa. Usichukulie Powa.

Unafanya kosa kubwa sana kuwasemea watu kwa kuamini kwamba Binadamu wote tunazaliwa sawa, kama ingekuwa ni hivyo labda nikuulize kwa nini kuna watu wanaweza kuosha maiti wakati wengine hata kuisogelea hawawezi? Au kwa nini kuna watu wanaweza kuhutubia maelfu ya watu wakati wengine hawaezi kuongea mbele ya kadamnasi?
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
2,741
Likes
2,615
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
2,741 2,615 280
..ni ujinga kwa mwanaume kutaka kuoa.mwanamke bikra haliyakuwa ww si bikra na bikra yako imetoka kwa kutoa bikra za mabint WA watu...

In this life u get what you deserve, stay cool..
Vijana wa siku hizi kweli wanashangaza sana. Nani alikufundisha kuwa mwanaume ni bikra. Mlaumu aliyekulea
 
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Messages
2,741
Likes
2,615
Points
280
Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2018
2,741 2,615 280
Unafanya kosa kubwa sana kuwasemea watu kwa kuamini kwamba Binadamu wote tunazaliwa sawa, kama ingekuwa ni hivyo labda nikuulize kwa nini kuna watu wanaweza kuosha maiti wakati wengine hata kuisogelea hawawezi? Au kwa nini kuna watu wanaweza kuhutubia maelfu ya watu wakati wengine hawaezi kuongea mbele ya kadamnasi?
Kuna tofauti kubwa kati ya kazi na ndoa. Kuna tofauti kubwa kati ya karama/kipaji na ndoa. Ndoa ni zaidi ya vyote hivyo. Ni moja ya kanuni za uumbaji. Wewe unazungumzia kazi na vipaji. Ndoa ilikuwepo kabla ya kazi, vipaji, pesa, n.k. Usiichukulie Poa. Ndoa ni pepo ndogo na hapo hapo ni Jehanam ndogo. Ndoa ni zaid ya uijuavyo. Ndio maana Shetani anawekeza huko kuliko sehemu yoyote ile.
 
Forum statistics

Threads 1,238,176
Members 475,830
Posts 29,312,038