Bila Barakoa, Muhimbili huingii kuanzia leo. Msindikizaji mmoja tu

IMF imetushika pabaya.
Ukishimama nkuki, ukikimbia nshale.
Mbona jirani yetu amepika data kiulaini tu. PIKENI DATA.
NKopo tunataka lakini bila takwimu hatupewi
 
Zile mashine za Nyungu walizojenga na kuzizindua kwa kutumia hela za walipa kodi hazifanyi kazi tena au ? washtakiwe kwa matumizi mabaya ya raslimali za umma pamoja na kutoa taarifa za uwongo zilizochangia kusababisha vifo vya watu wengi akiwemo mwananchi nambari Moja wa Tanzania.
 
Ukiwaza sana magufuli alikua muuaji .hizi hatua zilipaswa kuchukuliwa mapema sana.
Hatua za kuvaa barakoaa?
Kwani Kuna hospitali waliacha kivaaa barako?
Sisi wengine tangu ugonjwa utamgazwe hospitali zetu watu hawaingii bila barakoaa, na Magufuli akiwa raisi.
Kwamba alikua muuaji, aliwavua watu barakoa.
Kwani waziri wa kwanza kuamuru watu wavae barakoa Ni Nani Kama si Ummy wa Magufuli!!!
 
Na ule mtambo wa Sido vipi pale Muhimbili?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom