Bikra yake imechukuliwa na doctor

Dah, kwanza una bahati sana kwamba alikupa!!! naogopa sana unamu-approach mtoto halafu anakukubalia lakini hataki kukupa mambo kwa madai yeye ni bikra! Uzoefu unaonesha gal akikuambia ana bikira basi kuna hatari asikupe kabisa unless awe bikira kweli! Lakini anadai bado yeye bikira wakati hiyo kitu hana; jombaa, utaendelea kusotea ngoma mpaka utie adabu yako kv anaogopa akikupa utagundua kwamba kumbe ngoma magumashi.....used kitambo!!!!

ANGALIZO!!!
Demu akikuambia ana bikira, mwambie "kwenda huko, bikira uipatie wapi wewe; unafikiri bikira mchezo!" Kwahiyo, hata kama hana hiyo kitu, atakupa tu kv anafahamu tangu zamani ulijua kwamba hiyo kitu adimu yeye hana na anajua kwamba unajua alikuwa anakufanyia masihara! Likewise, hata kama anayo, bado chance ya kukupa itakuwa kubwa tu kv atataka kukukata kilimilimi na ubishi wako huku akiwa amesahau methali ya kiswahili "hasira za mkizi........!"
duu we fundii
 
Kuna watu wavumilivu...miaka 7 si haba!
Ila kama na wewe ulimsubiri na ulikuwa bikira, MWACHE. ila kama wewe ulikuwa unapiga vitu vyako...huna haja ya kumwacha!
 
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.

hakuonekana ana mume,hakwahi kuiasi dini,mfuasi mzuri wa maadili,lakini vipimo vinaonyesha binti sio bikira. dah!!!!! kweli duniani kuna mambo.ngoja nikusaidie, ipo hivi sahivi ukichukua mademu mia moja wa chuo huwezi kumapata bikira kwa vyuo vyote tanzania. sijui ww upo ulimwengu gani./? hujui kutambua mambo yanavyobadilika kwa kasi. et doctor alimuingizia vitu kama sio kutoa mimba alikuwa akifanya nini. huyo ni mzoefu.tatizo ;lako nahisi uliingia kichagachaga naye akaona akupige kwenzi.
 
Mkuu ulichokifanya for seven years ni kumshika mbuzi pembe huku wajanja wanaaa.........

ps: ulivaa condom?
 
Kwani we unatafuta bikira yake au unatafuta mpenzi. Kwani hiyo bikra yake unataka ukaifanyie tambiko kwenu, we vp mkuu! Kama unampenda chukua mzigo nenda kaishi naye, mambo ya bikira, watu mpaka wanpata wajukuu wanaiskia tu hiyo kitu. Huwa inaondolewa mapeeeeeeeeeeeeeeeeema kabla hat mtu hajamaliza s/msingi.

duh umeua mkuu
 
Back
Top Bottom