Bikra yake imechukuliwa na doctor

Yaani kweli binadamu/wanaume tumetofautiana sana_yaani mtu miaka 7 unavumilia eti kisa ana bikra(kwani hiyo bikra haivunjwi)...lakn nafikiri ulikua unababaika kwa sababu kwao wana mkwanja,...kama vip vumilia tu ili uendelee kufaidi mkwanja ila ck zingine jifunze kuchangamka mapema kama ukiona vip wewe sepa...mambo ya mkwanja pambana utapata tu mkuu
sio mkwanja jombaa ningechapa tu na kuchomoka!
 
Jamani zipo mm mbona ninazipata tena sana,mm mpaka sasa nishapata 3 na wala siyo mchina,na mwez wa 12 ninatarajia kupata nyngne kama 2.
Kwahyo siku hz zipo.

umeonae! Kumbe tupo wengi za beki 3 zipo sana?? Lakini siyo vizuri Fataki
 
Alikuwa lena! kwan alipiga kelele nlipoweka akatulia baadaye alidai dam zlimtoka@chatu, nikimwambia tuonane tena ananizungusha sijui nighair?

uwiiiiiiiiiii! My stomaka..! Umenichekesha kinoma..akikupa tena mtoto atakata kiuno kama feni mbovu hapo ndipo utashanga kama gemu moja ndo imempa uzoefu.
 
Pole sana kama na wewe ya kwako ulitunza kwa ajili yake na ukamwonyesha basi unastahili kumdai,but kama na wewe huna acha kbs huu mjadala,kwan kama ww ulishindwa kutunza yy atawezaje?na inaonekana humpendi kwa dhat ulikamia tu kumtoa bikira na baada ya kuikosa umepagawa! na mungu kakuumbua na mtihani kakupa, je utabaki nae au utamwacha kwa vile hujakuta bikira wakati nawe pia huna!
 
We ulithibitishaje hakua bikra? angekutegeshea kwenye siku zake za kikaragosi chekundu, ungegundua sio bikra?
 
Sio ushamba wajameni mtoto alikuwa ameokoka, tena tulikuwa koz moja wala hakuwah kuonesha anamepotoka kimaadili.

huwa nawaogopa sana mademu walokole/wakimya. Huwa wanamegwa kimyakimya na jamaa anasepa kimya kimya. Wabaaya hao kwa mambo yetu yale!
 
huwa nawaogopa sana mademu walokole/wakimya. Huwa wanamegwa kimyakimya na jamaa anasepa kimya kimya. Wabaaya hao kwa mambo yetu yale!
kweli eeeh! Daa mi nlkuwa sijui! washkaj walinicheka kuwa naye kama bro n' csta nikawaona wAHUNI!
 
Back
Top Bottom