Biko Sports hawako fair

Carnivora

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
3,651
5,983
Habari wakuu,

Nasikitika kusema kwamba BIKO SPORTS HAWAKO FAIR.

Mtu akijisajili kwao hakuna namna ya ku unsubscribe kupata notifications pale kwenye website yao. Wamekuwa wanatuma sana message kwamba kunjua jamvi sijui wakati sisi wengine sio wadau wa kubet.

Nilikua na girlfriend wakati fulani ndio alijisajili kwa namba yangu na akawa anabet huko football. Sasa siko nae karibu na naona kero kupokea sms zao. Nimejaribu kuingia kwenye website yao, nikaomba mpaka password nijitoe but i vain.

Hamna namna nyingine ya kuwafikishia ujumbe. Nimeamua kuja huku.

Au kwa anayejua anielekeze. Am fukced tired na annoyance yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom