Bikira imekuwa nongwa huko zanzibar

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR…….WAZAZI WAWACHUNGUZA WATOTO WAO KWA NGUVU…

Dk Marijani Msafiri amesema asilimia 80 ya watoto wa kike wanaoletwa kituoni hapo na wazazi wao , wanafikishwa kuchunguzwa masuala ya ubikira.

“Kituo hiki Mkono kwa Mkono malengo yake ni kutoa huduma za dharura kwa wanawake wanaokabiliwa na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo kubakwa.....sasa wazazi wanawaleta watoto wao hapa baada ya kuwatilia shaka kwamba wanamahusiano ya kimapenzi na wanaume kwa ajili ya kuchunguzwa kujua ubikira wao,” alisema.

Chanzo: BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR

HAHAHA ...KINAMAMA WA ZENJI HATARI SANA
 
^^
Sioni tatizo! Kama wimbi la vijana kuzitoa bikra linaongezeka pasipo kujua agano la damu wanaloingia na ulimwengu wa kiroho.
^^
 
Duh hii kali akikuta amna wanawafanyaje hao mabinti? Hao watoto wanagawa tigo mbaya ..... usjikutana nao anakumwambia kabisa ukigusa mbele utanioa..
 
Hapo watakua wamekosea,hao watoto sasa wataanza kutoa tigo ili wasijulikane wanawanaume.unaenda kupima mbele nyuma pako wazi.
 
Bora wazazi wao wanajali, kuliko wengine wasiojua hata wanao wanashinda wapi, wanaurafiki na kina nani, wanarudi nyumbani saa ngapi etc. Hao wazazi wao wanawajali.
 
Duh hii kali akikuta amna wanawafanyaje hao mabinti? Hao watoto wanagawa tigo mbaya ..... usjikutana nao anakumwambia kabisa ukigusa mbele utanioa..

Hahahaha....ukigusa then ucimuoe inakuwaje ...coz hata wa bara huwa wanasema hvyo hvyo
 
BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR…….WAZAZI WAWACHUNGUZA WATOTO WAO KWA NGUVU…

Dk Marijani Msafiri amesema asilimia 80 ya watoto wa kike wanaoletwa kituoni hapo na wazazi wao , wanafikishwa kuchunguzwa masuala ya ubikira.

“Kituo hiki Mkono kwa Mkono malengo yake ni kutoa huduma za dharura kwa wanawake wanaokabiliwa na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo kubakwa.....sasa wazazi wanawaleta watoto wao hapa baada ya kuwatilia shaka kwamba wanamahusiano ya kimapenzi na wanaume kwa ajili ya kuchunguzwa kujua ubikira wao,” alisema.

Chanzo: BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR

HAHAHA ...KINAMAMA WA ZENJI HATARI SANA

Mungeacha
 
Hahahaha....ukigusa then ucimuoe inakuwaje ...coz hata wa bara huwa wanasema hvyo hvyo

ukigusa mkuu unapewa hata kesi ya ubakaji........... wabara maeneo nayo ishi watoto wanaliwa tigo mpaka unaona hurua ... wanatunza bikra ya siku ya ndoa,,,
 
hebu mnipe darasa kidogo ili nielimike hapa!
nimesikia katika upimaji wa ubikra madokta wanatumia kidole kirefu kuingiza kwenye papuchi.....???
kuna ukweli wowote hapo???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom