Biharamulo: Kijana akamatwa kwa tuhuma za kuwasha moto ulioteketeza nguzo za umeme 9

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
EerRu5nXYAI-m1l (1).jpeg

Jeshi la Polisi Wilaya ya Biharamulo.Kituo Cha Nyakaura, linamshikilia Amani Philipo mkazi wa Kijiji cha Nyabugombe. Kwa tuhuma ya kuwasha moto uliosababisha nguzo za umeme kuungua kijijini hapo.

EerRu5oWsAAiK-J.jpeg

Matukio Kama hayo ya uchomaji moto mbuga pamoja na maeneo mengine yanaonekana kuendelea kushika kasi, ambapo kwa sasa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeendelea kupata hasara ya uharibifu wa miundo mbinu yake kwa kiasi kikubwa.

EerRu5qXgAAEe6R (1).jpeg
 
H
View attachment 1528196

Jeshi la Polisi Wilaya ya Biharamulo.Kituo Cha Nyakaura, linamshikilia Amani Philipo mkazi wa Kijiji cha Nyabugombe. Kwa tuhuma ya kuwasha moto uliosababisha nguzo za umeme kuungua kijijini hapo.

View attachment 1528192

Matukio Kama hayo ya uchomaji moto mbuga pamoja na maeneo mengine yanaonekana kuendelea kushika kasi, ambapo kwa sasa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeendelea kupata hasara ya uharibifu wa miundo mbinu yake kwa kiasi kikubwa.

View attachment 1528194
Shukran na pongezi kwa kila aliehusika na kuwatafuta wahusika.
UCHUNGUZI MAKINI NA WA HAKI UFANYIKE, SASA ATAKAEGUNDULIKA NI KWELI AMEHUSIKA AFANYWE MFANO HADHARANI ILI WENGINE WASIJARIBU TENA NDIO TUSONGE MBELE. LAA SIVYO KILA SIKU TUTAKUWA TUNAANZA UPYA TUU
 
Tukiangalia kote kote, je Tanesco hawana fungu kwa ajili ya kupalilia (fire break) kuzungushia nguzo zao kama tunavyoona maeneo mengine ili kuepusha uharibifu?

Nijuavyo maeneo yenye shughuli nyingi za wakulima lazima tahadhari ichukuluwe.

Kwa nini uongozi wa Tanesco mkoa usiwajibike kwa msala huo?
 
MwanaJF wa kweli wewe.
Hapo anayetakiwa kulala ndani leo ni Meneja wa Tanesco Mkoa na Afisa Usalama wa Miundombinu ya TANESCO Mkoa kwa UZEMBE naishia hapo, huyo kijana alichofanya ni kuonyesha Uzembe wao hao viumbe wawili wazembe kabisa
 
Kazi zimekuwa adimu vijana wanapata kufanya kazi hata zisizo na manufaa kwao wakivuta bange
 
Bila shaka hakuchoma huo moto kwa lengo la kuunguza hizo nguzo. But he acted negligently.

JESUS IS LORD!
 
View attachment 1528196

Jeshi la Polisi Wilaya ya Biharamulo.Kituo Cha Nyakaura, linamshikilia Amani Philipo mkazi wa Kijiji cha Nyabugombe. Kwa tuhuma ya kuwasha moto uliosababisha nguzo za umeme kuungua kijijini hapo.

View attachment 1528192

Matukio Kama hayo ya uchomaji moto mbuga pamoja na maeneo mengine yanaonekana kuendelea kushika kasi, ambapo kwa sasa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeendelea kupata hasara ya uharibifu wa miundo mbinu yake kwa kiasi kikubwa.

View attachment 1528194

Sambamba na huyo, meneja wa Tanesco Mkoa na wilaya wanatakiwa kuchukuliwa hatua pia walizembea kutotengeneza fire break kwenye maeneo ya nguzo zao
 
Back
Top Bottom