hihihihihih SASA HUYU Mukasa atalipwa pensheni kama wabunge wengine waliokuwa madarakani miaka 5?? arudi Ifakara health instNapata taarifa hapa kupitia BBC, Biharamulo CHADEMA imepeta na funny enough mGOMBEA WA ccm, Mukassa ndiyea liyetoa taarifa hii!!!!!!!!
Busanda wajameni vipi? wacha niendelee na sala kuzuia uchakachuaji
Asante Nyambala kwa taarifa hii, nilihudhuria chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo, nilichokiona kwenye kampeni na matokeo vilikuwa vitu viwili tofauti, niliwashangaa Wana Busanda na wana Bi'mulo mpaka kuwatusi kuhusu umasikini wao. Hatimaye sasa wamefanya walichotakiwa kufanya. Nasubiria hali ya Busanda.Yea man, na hii inadhihirisha hata ule uchaguzi mdogo uliopita CCM ilichakachua!
He! Shujaa sana huyo