REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,880
- Thread starter
- #21
Mmekatwa ngebeHaya yashapitwa na wakati, jifunze kuangalia tarehe kabla hujabwatuka, kuna mengi yametendeka tangu hiyo post ikiwemo Tanzania kuvaliwa na wakuu kisa Bashite.
Rudi Google ukasombe kingine ulete maana sasa hivi Lumumba mumebanwa, hakuna kuleta huku takataka za kwenu.....hehehehe