Biggest Shame Ever : a bragging Kenyan socialite akatwa ngebe kikatili na Richard Quest publicly ๐Ÿ˜…

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Yeah of course as we all know what Kenyans are best for, so juzi walijichanganya kama kawaida yao bragging and winning cheap publicity but today for the wrong person ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani huyu dada hata kaa asahau maisha yake yote, Eti anamlisha maneno Quest kwamba amesema Kenya is so beautiful country, growing rapidly, world Bank number one choice and other blah blah blah as usual

Saa ngapi Richard Quest asichomoke huko alikochomoka na kumpa punch lines kadada kawatu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kamekua kadoooogo kama kapanya ๐Ÿ˜ญ mpaka kakafuta ile tweet yake ya uongo kakaanza kuomba msamaha, kigagula cha watu ๐Ÿ˜…

Next time mjifunzege nyie wakenya sio kila train lakupandia kwa mbele, kama hiyo mitungi yenu ya chang'aa mlivyoizoea, trains nyingine ni hyperloops ukijichanganya tunakusahau ๐Ÿ˜

Quest means Truth, Yeah ๐Ÿ˜„

IMG_2018_11_13_05_36_58.png
IMG_2018_11_13_05_37_09.png
 
Haya yashapitwa na wakati, jifunze kuangalia tarehe kabla hujabwatuka, kuna mengi yametendeka tangu hiyo post ikiwemo Tanzania kuvaliwa na wakuu kisa Bashite.
Rudi Google ukasombe kingine ulete maana sasa hivi Lumumba mumebanwa, hakuna kuleta huku takataka za kwenu.....hehehehe
 
I like the way they are desperate almost desolate now. Mods amefanya jambo la busara Leo sana
Anasema ni aibu kubwa wakati yeye amepata taarifa zenyewe leo, wakati tayari zilishapitwa na wakati. Aibu ni yeye kutuletea habari hizi mgando kwenye nyakati kama hizi za mitandao ya kijamii na usambazaji wa taarifa live punde tu zinapoibuka. Labda amepashwa leo hii kupitia TBC1, media analogue kutoka Tz.
 
ya kitambo sana hii. ata tumeshasahau.
btw Julie Gichuru sio socialite.
 
Anasema ni aibu kubwa wakati yeye amepata taarifa zenyewe leo, wakati tayari zilishapitwa na wakati. Aibu ni yeye kutuletea habari hizi mgando kwenye nyakati kama hizi za mitandao ya kijamii na usambazaji wa taarifa live punde tu zinapoibuka. Labda amepashwa leo hii kupitia TBC1, media analogue kutoka Tz.
Hata kama ingepita mwaka mzima, lengo la hii taarifa ni kutaka kuonyesha ujinga na ulimbukeni wa wakenya kwa kupenda kujikweza na kulipa SIFA za kijinga, hivi ninyi nani amewalaani?, mbona mpo na ujinga kiasi hiki?
 
Kwanza huyo dada, avatar (DP) yake hata haiendani na jina lake....!!! GICHURU...!!! Jina kama dawa ya kwashakoo au miti shamba ya babu wa loliondo...!!!!

Wakenye mna matatizo sana, mara mtangaze eti Mt. Kilimanjaro ipo kwenu, mara mmzushie RICHARD QUEST maneno ambayo hajasema (mpaka awaumbue mitandaoni), hamuoni hata aibu mbele za mungu.!!!
 
Ukion dini inahitaji celebrities ikubalike, ujue hiyo si dini ni social club tu.

Celebrities ndio wanatakiwa wahitaji dini.

Figuratively speaking, before someaone starts a thread "Kiranga anaamini dini!"
 
Watanzania wenzangu, sawa na jirani buguruni ukipika mayai, anasema unajaribu hali ya hawa ukiwasha radio unatusumbua, ukibadilisha nguo, unajidai, full kalalamika
 
Back
Top Bottom