Big up udsm

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,769
7,689
[h=1]Top 100 Universities in Africa in 2013[/h]The rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.

A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST

4 / 6

1 University of South Africa
2 University of Cape Town
3 Universiteit Stellenbosch
4 University of Dar es Salaam

98 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
University-of-DaresSalaam.jpg hata kwenye noti za mia tano mpooooo
 
Top 100 Universities in Africa in 2013

The rankings of Africa's top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.

A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST

4 / 6

1 University of South Africa
2 University of Cape Town
3 Universiteit Stellenbosch
4 University of Dar es Salaam

98 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
View attachment 129030 hata kwenye noti za mia tano mpooooo

Ila sasa mimi nadhani hiki 98 Muhimbili University of Health and Allied Sciences kilitakiwa kiwe juu ya udsm, yaani namba 2 au 3 kwa sababu kinashughulika na roho za watu
 
Top 100 Universities in Africa in 2013

The rankings of Africa's top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.

A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

Top 100 Universities in Africa in 2013 | THE AFRICAN ECONOMIST

4 / 6

1 University of South Africa
2 University of Cape Town
3 Universiteit Stellenbosch
4 University of Dar es Salaam

98 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
View attachment 129030 hata kwenye noti za mia tano mpooooo

laiti ungelikuwa makini, usingelishabikia kuwa nafasi ya Nne kwa UDSM. Kwa maana hata chanzo chako cha habari kinatilia mashaka, vigezo vilivyotumika ktk kupanga orodha hii. Kadiri siku zinavyoenda mbele kila mmoja anashuhudia jinsi kiwango cha elimu kinavyoshuka hapo UDSM..., Hilo halina ubishi. Kilichobaki hapo ni jina tu, na watu wanaendelea kukiheshimu kivuli cha UDSM, lakini hakuna kitu cha kutisha hapo.
 
Ungejishughulisha kwanza kujua ni vigezo gani vinatumika ku rank vyuo kabla hujatoa mtazamo wako.

If you want to compare at least two things, you must put them under the same environment/conditions. So, ukiniambia umefanya ranking maana yake ni kwamba ume-consider homogeneity, kwa maana kwamba hujawezi kumpiganisha ngumi Evander Hollyfield na Rashid Matumula, au Lennox Lewis na Francis Cheka. Ndiyo maana wanaoweka details kama hizi hawatoi vigezo vilivyotumika kwa sababu hawana haja ya kufanya hivyo, inaeleweka ni namana gani zoezi huwa linafanyika
 
Kumbe unatambua kuwa kuna vigezo vinavyotumika katika ku rank vyuo, so what was your point in saying Muhimbili should be ranked above UDSM eti tu kwa sababu kinahusu afya na maisha ya watu, Kwani hicho ni kigezo kimojawapo cha ku rank ubora wa vyuo!? In your opinion you're likely to say SUA kiwe cha mwisho kwa kuwa kina deal hadi na nyanya chungu, pilipili kichaa, karoti , maembe na wadudu pia!??
 
ahahahahaaaaaaaaaa! Kweli wewe ni balozi wa Dodoma. Tena usitutajie huo uozo wa kichina uliojengwa huko ubalozini kwako hapo ni kama Chekechea ukipeleka Duniani. Asante UDSM kwa kunikomboa kifikra.

Acheni Ubishi usio na logic. mtu unabisha kwamba Udsm sio Chuo bora Wakati ulikosa sifa za admission ukakimbilia Mzumbe!

Dunia Nzima inajua kwamba kwa Tanzania University ni Udsm tu wengine wamebatizwa tu majina ! kweli itawaweka Huru Daima
 
Well said mkuu wengi wali apply Udsm kwanza walipokosa ndo wakaenda ivyo vingine, viva udsm...
 
theoreticaly ndivyo ilivyo ila practically udsm imebaki jina tu siku hizi tukiangalia output yao kwa wakati huu, nakumbuka kuna mzee m1 (aliwahi kuwa prof. wa ardhi university) tunakaa nae jirani aliwahi kusema anashangaa baadhi ya wahitimu wa chuo hicho waliwezaje kuhitimu, tena wakiwa na vyeti vizuri sana wakati kiukweli wengi wao hawafanani na vyeti vyao
 
Sasa hao ni wanafunzi hao wachache wanaodesa ila c chuo...huhu
 
Historical Sites

Mzumbe is mor better than Ud
Udom is on the way

Vipi Mkuu,are you serious au una mihemko ya Degree na Masters za Maji mara moja? Hapo Mzumbe ndio zinapatikana Degree,Masters na Phd Magumashi hapa Bongo,hivi Nchimbi Phd yake aliipatia wapi viileeee! Mzumbe haiifiki kwa ubora ata MUCCoBS(Ushirika Moshi) kwa product za maana.
 
Kumbe unatambua kuwa kuna vigezo vinavyotumika katika ku rank vyuo, so what was your point in saying Muhimbili should be ranked above UDSM eti tu kwa sababu kinahusu afya na maisha ya watu, Kwani hicho ni kigezo kimojawapo cha ku rank ubora wa vyuo!? In your opinion you're likely to say SUA kiwe cha mwisho kwa kuwa kina deal hadi na nyanya chungu, pilipili kichaa, karoti , maembe na wadudu pia!??

Statement yangu inasomeka hivi:
"Ila sasa mimi nadhani hiki 98 Muhimbili University of Health and Allied Sciences kilitakiwa kiwe juu ya udsm, yaani namba 2 au 3 kwa sababu kinashughulika na roho za watu"

Nadhani kwa kuirudia kuisoma hiyo statament tayari umeshagundua tatizo la argument yako ni lipi!
 
Back
Top Bottom