Big up Masanja

bebiwilli

Member
Mar 4, 2011
70
16
Leo kwenye kipindi cha the comedy kwa kweli masanja amenifurahisha kwa kuwataja wabunge wote na mawaziri waliohudhuria msiba wa kanumba kumchangia sajuki akatibiwe kama walivyochanga kwenye msiba wa kanumba, na amewaomba wasisubiri mpaka mtu afe ndo watoe rambirambi,
 
Good job Masanja that's what friends ar for.Nimemshuudia hapa ni kweli ana manisha. Pole Sajuki u wl get well soon.

Stay blassed Masanja.
 
kwa kweli I couldn't imagine the way Sayuki suffers but that pictures whch masanja displayed have spoken alot.
 
keep it up masanja mkandamizaji,umeonesha mfano na ushirikiano kwa wasanii. sajuki Bwana Yesu akuponye!
 
Good job' comed orignal 4it, pia umewaprove some people's roooooooooong,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom