Leo kwenye kipindi cha the comedy kwa kweli masanja amenifurahisha kwa kuwataja wabunge wote na mawaziri waliohudhuria msiba wa kanumba kumchangia sajuki akatibiwe kama walivyochanga kwenye msiba wa kanumba, na amewaomba wasisubiri mpaka mtu afe ndo watoe rambirambi,