Big up ali kiba umetuwakilisha!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839


...Imetulia au vipi?
 
Last edited by a moderator:
Nimeona video mpya ya R Kelly aliyowashirikisha baadhi ya masupasta wa Africa wakiwemo watatu kutoka east africa Ali Kiba akiwa mmojawapo. Ndani ya video hiyo pia yupo mwanadada pekee Amani kutoka Kenya aliyeplay part yake vilivyo.Wengine ni Navio kutoka UG, 2 Face Idibia,Fally Ipupa, Movaizhaleine,4x4- Hands Across the World.Nimefurahi sana kuona bendera ya TZ ikipeperushwa across the borders. Ofcourse ni jitihada zake mwenyewe hadi kufika huko lakini acha tumpongeze kaka ye2 amefanya kazi nzuri.That video is real rockin men, go bro, go Ally Kyba!
 
nimeona video mpya ya r kelly aliyowashirikisha baadhi ya masupasta wa africa wakiwemo watatu kutoka east africa ali kiba akiwa mmojawapo. Ndani ya video hiyo pia yupo mwanadada pekee amani kutoka kenya aliyeplay part yake vilivyo.wengine ni navio kutoka ug, 2 face idibia,fally ipupa, movaizhaleine,4x4- hands across the world.nimefurahi sana kuona bendera ya tz ikipeperushwa across the borders. Ofcourse ni jitihada zake mwenyewe hadi kufika huko lakini acha tumpongeze kaka ye2 amefanya kazi nzuri.that video is real rockin men, go bro, go ally kyba!

where da hell is dat video!!!!!!
 
Nisawa kutuhabarisha,lakini ngoja kwanza tuangalie Mstakabali wa nchi unavyo kwenda hoja yako ni nzuri hata kikweta atachangia.
 
mzee yusuph na jig@ jay z ni nomaaa............
ok hebu tuachane na hayo kwa muda turudi kwa Captain Chiligati tafadhali...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom