Big Salute kwa Nabii TB Joshua Na nabii Josepht Mwingira, Kwa Kumchonga vema Magufuli

Code:
Angempongeza na yule mama aliyetangulia kusafisha njia na usinga na tunguli kabla John Kiroba hajapanda kuhutubia pale Nzega uwanja wa parking.
Sikiliza mkuu.,
nasema Dr. Joseph Magufuli kabadilika ndani na nje..
anaheshimu mila za makabila yote , na ndio maana anajifunza.
anapovalishwa mgolole na wahehe...hawezi kataa...anapokalishwa kwenye kakigoda na wagogo..hawezi kataa..
akipokelewa na ka-bibi kenye usinga mbele yake ..hawezi kukazuia, ni ukosefu wa adabu na hishma.
maana anajua fika Agano lake na Mungu (ndiyo maana anatamka hivi:-Mungu kwanza, mengine yatafuatia yenyewe automatically)
BRAVOOOO TB JOSHUA,,,BRAVOO APOSTLE MWINGIRA,, MMETUCHONGEA JAMAA VZR..ASANTE SANA
 
Mie binafsi nimeshuhudia mara kadhaa uwepo wa Dr magufuli ndani ya hekalu la EFATHA ministry, Mwenge. Na hasa katika session ya maombi ya vita, jamaa alikuwa anawajibika vema. Na pia akiwa Jijini lagos ndani ya the Synagogue la TB Joshua, Nimemshuhudia mara tatu, kupitia Runninga yangu.
Ok. Dr. magufuli amebadilika sana. Nimemfuatilia katika kampeni hizi za Urais-Kuanzia akiwa Tanga, moro, Gairo, Chigoma, Muleba na leo Geita, kwakweli hutba zake zimetulia sana, zina-touch.
( ni maoni yangu tu kama mwana JF, taf musinihukumu)
Ukweli ni kwamba, watu wanaojihudhurisha katika huduma za Kitume na kinabii, huwa wana-change their mind set, jus like this Lad.

Thank you Apostle Mwingira, and Prophet TB Joshua, wamemchonga vzr, kiroho na kimwili.
Alikuwa jeuri sana
Haukuwa mbali sana. Mchango wa Watumishi unasaidia kuiponya nchi.
 
Back
Top Bottom