Big results now...nahisi kuna tatizo kubwa sana hapa

Unakumbuka mambo ya Mkukuta, Mkurabita, Kilimo Lukwa nza? Kama yote hayo yalifanikiwa basi na BRN itafanikiwa!

NB: UPE enzi za mwalimu ndo mkakati pekee uliofanikiwa TZ\
 
Kuna huu mpango wa BRN serikal imeiga kutoka nchi za majuu. Swali ni kwamba kwa nature ya nchi yetu kwa ujumla tutaona mafanikio kwa muda mfup kama wanavyotaka kwel? naomben mawazo yenu wana JF.
Ni kweli mpango utaleta mabadiliko na unaleta madadiliko, hivi hujui kama hakuna kipindi ambacho tembo wetu wanauawa kwa idadi kubwa kama kipindi hiki kuliko vipindi vingine vya kiutawala vilivyopita!!! hivi hujui kama kipindi hiki ndo rasilimali zetu za nchi kama vile madini, kutorosha wanyama kwenda nchi za nje na kujimilikisha migodi kama yao na familia zao hufanyika kwa kiasi kikubwa??? haya yote ni matokeo ya BRN.................
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom