msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,827
- 1,729
Mimi ni mpezi wa kipindi cha discovery channel , kuna kipindi wanaonesha wanasayansi wakimtafuta kiumbe mfano wa Sokwe anaeitwa Big foot ( unyayo mkubwa) huyu mnyama wanasema anapatikana huko America ... lakini hawajawahi kumkamata japo natives na wakulima kadhaa wamesema wamepata kumuona vichakani kenye misitu mizito japo kwa mbali.
Kuna mwana JF yeyote anaweza kutusaidia uhalisia wa mnyama huyu au ni Zimwi (Zimungala) kwa imani zetu wanyamwezi
Tujipumzishe kidogo na stress
Kuna mwana JF yeyote anaweza kutusaidia uhalisia wa mnyama huyu au ni Zimwi (Zimungala) kwa imani zetu wanyamwezi
Tujipumzishe kidogo na stress