Big Foot real exists au myth tu

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,827
1,729
Mimi ni mpezi wa kipindi cha discovery channel , kuna kipindi wanaonesha wanasayansi wakimtafuta kiumbe mfano wa Sokwe anaeitwa Big foot ( unyayo mkubwa) huyu mnyama wanasema anapatikana huko America ... lakini hawajawahi kumkamata japo natives na wakulima kadhaa wamesema wamepata kumuona vichakani kenye misitu mizito japo kwa mbali.

Kuna mwana JF yeyote anaweza kutusaidia uhalisia wa mnyama huyu au ni Zimwi (Zimungala) kwa imani zetu wanyamwezi

Tujipumzishe kidogo na stress
 
nimengalia hicho kipindi mpaka nakaribia kulishusha hilo dish lenyewe, cjawah kumuona zaidi ya kivuli tu na kilazana saa 8 za usiku
 
Mimi ni mpezi wa kipindi cha discovery channel , kuna kipindi wanaonesha wanasayansi wakimtafuta kiumbe mfano wa Sokwe anaeitwa Big foot ( unyayo mkubwa) huyu mnyama wanasema anapatikana huko America ... lakini hawajawahi kumkamata japo natives na wakulima kadhaa wamesema wamepata kumuona vichakani kenye misitu mizito japo kwa mbali.

Kuna mwana JF yeyote anaweza kutusaidia uhalisia wa mnyama huyu au ni Zimwi (Zimungala) kwa imani zetu wanyamwezi

Tujipumzishe kidogo na stress
Weka picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom