Big business

Ron Abel

Member
Dec 17, 2015
18
0
Je ungetamani kuwekeza ktk biashara kubwa big business, kwa mtaji wa kawaida na kuweza kuvuka mipaka yako ya kiuchumi?
nitafute kwa ushauri zaidi 0718512775
 
Ww nawe ni jipu tuu,acha kutapel watu na biashara zenu za Forever Living na Rifaro au Trevo hapo ulipo ata vocha taabu afu unanishauri mm niwe tajiri....
 
hahahaa kijana Rifaro wamekula pesa yako ata mtaji ulioweka umeshindwa kurudisha!!! bora ungeuza vocha !!! hahahhaaa
 
nitakucheki lakini sitaki mambo ya forever ,sijui network marketing nk,...tutagombana...
 
hahahahah hawa wanajidai wanatoa ushauri ila ukkikutana naye soli ya kiatu imebaki kaulimi tu akanyage chini

Tusifikie hatua hizi Za dharau, wala tusimtuhumu mtu mwenye Mawazo mazuri pengine kakosea kujielezea vizuri cha Muhimu tumshauri atoe maelezo Na mchanganuo kidogo hapa ili tumuelewe.
 
Back
Top Bottom