BIG BROTHER AFRICA: Tujuzane kuhusu hii

MrSocrates

Member
Sep 29, 2017
46
30
mambo vipi wakuu
embu leo kwenye huu uzi tujuzane kidogo kuhusu hili shindano
mwaka huu lipo??
na je kwa tanzania wameshaanza usahili?
na ni vigezo vipi unatakiwa uwe navyo ili uweze kufanya usahili?
 
mambo vipi wakuu
embu leo kwenye huu uzi tujuzane kidogo kuhusu hili shindano
mwaka huu lipo??
na je kwa tanzania wameshaanza usahili?
na ni vigezo vipi unatakiwa uwe navyo ili uweze kufanya usahili?
Ongera naona nawewe umeamua kujitoa kimasomaso ukashiriki.
 
Back
Top Bottom