Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

Ok siwezi kukujibu, username inakutambulisha kama sijakosea ni MUHA wana asili ya ubishi, maana mrangi alishakujibu mgawanyo wa HISA ulivyo lakini still unaleta ubishi.

Cc.Mrangi
mrangi kazi yao ni kupaka rangi, ko usomi na fact/logic hamuwezi kalale
 
Mnachotakiwa kujua ni kwamba,bila brand ya WASAFI ambayo kimsingi ni ya diamond platinumz hakuna WASAFI TV wala WASAFI FM, kufanikiwa kwa hiyo media wala si swala la pesa. Leo hii Diamond akisema atoe hizo hisa zake ambazo nyinyi mnaziona ni ndogo pamoja na brand yake alafu akae kando, WASAFI MEDIA inaanguka ndani ya muda mchache tu (Mnafikiri kuanzisha redio ni pesa tu)

Hata hivyo asilimia za hisa anazozidiwa diamond na huyo mke wa kusaga hazizidi hata 10%.Kwahiyo chukua Hisa anazo miliki Mond pale Wasafi media + Brand yake= MOND NDIO MKUBWA PALE WASFI MEDIA.Kama kweli ni swala la pesa na akili za Kusaga,mbona clouds inamfia mkononi mwake?


NB:Ukuaji wa kasi wa WASAFI media kwa asilimia 50%unategemea brand na mashabiki aliyojitengenezea Mond. Ndiomaana hata nyinyi mnaoiponda WASAIFI hamuwezi kuwa mashabiki wa Mond.
fact kaka umeua
 
Habari Wana jamvi;

Kwa mwendo huu wa WASAFITV kuruhusiwa kuonyeshwa bure kwenye kisembuzi Cha AZAMTV ni ukomavu na ukuaji mkubwa wa tasinia ya taarifa ya habari nchini.

Pia imedhihirisha ni kwa namna gani DIAMOND pamoja na WASAFI ni mahodari na wabobezi kwenye nyanja ya habari sana.

TIGO wameisaliti CLOUDSTV na kukimbilia WASAFITV,hii inamaanisha kuwa WASAFITV ndo inakuja kuleta mapinduzi mapya,yenye misingi ,tija na manufaa kwa wanamziki/wasanii kwa ujumla nchini Tanzania.

Hiki kitendo Cha TIGO kinaonyesha kuwa CLOUDSTV imeisha kufa na imebakiwa kuzikwa,na kwa Sasa habari ya mjini ni WASAFITV.

S/O kwa Diamond platinumz the G.O.A.T pamoja na chuma Cha WCB na WASAFITV kwa ujumla.

THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.
View attachment 1633721
Na ukubwa huo unajua Wasafi Tv ya diamond
Haya bhana endelea
 
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Aliekwambia Kusaga ndio mmiliki wa wasafi nani? Kusaga mwenyew kashasema yeye sio mmiliki...ndo yale yale ya Magu kukataa kuongeza miaka..ila makada wanatia upepo tu
 
Huyo ndiye mke wa Kusaga aitwae Juhayna Zaghalulu Ajmy anayemiliki 53% ya hisa za Wasafi.

Hebu wewe tutajie hapa Diamond anamiliki % ngapi ya hisa hapo wasafi na sisi tuweke walichokisema TCRA khs wamiliki wa wasafi.

Msalimie Dada ako Mange.View attachment 1633736
Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho
 
Simba pale ana-hisa na si umiliki 100%
Ana hisa na anamiliki brand ya wasafi kwa 100% ..hisa bila brand basi star tv wangekua wakubwa...ni sawa leo hii ukamiliki kampuni ya Apple kwa 75 percent ndio ujione mkubwa kuliko brand ya apple yenyew
 
mtoa mada hajazungumzia mambo ya umiliki bt makusudi watu wanabadilisha lengo la uzi, hebu jikiteni kwa mada japo mnaonekana kukereka.
Ndio kichaka wanachojifichia..nililiona hilo kabla uzi haujapata comment hata 1
 
tatizo mnafuata sana (udaku),yaani mkisikia mange kimambi amesema na nyie mnatega masikiao,WASAFITV ni ya DIAMOND PLATINUMZ THE KING OF TANZANIA MUSIC, nimeandika kwa herufi kubwa ili USIRUDIE pumba zako.
Soma hiyo attachment utulie kimya.
20201124_171633.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
'THE RISE OF WASAFITV and THE FALL OF CLOUDSTV.'

Sasa Clouds itaangushwaje na Wasafi wkt mmiliki wake ni mmoja mzee Baba?

Kusaga ni kichwa sana arifu.
Mwandishi hajasema hata kidogo eti The fall of Jose Kusaga!
Jamaa kasema The fall of clouds!!

Sasa mambo ya kusaga anamiliki nini sijui yanatoka wapi sijui!!

Inawezekana kweli kusaga ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media 'kama utakavyo' lakini hiyo haizuii biashara yake nyingine kufa!!!
Be positive!!
 
Mwandishi hajasema hata kidogo eti The fall of Jose Kusaga!
Jamaa kasema The fall of clouds!!

Sasa mambo ya kusaga anamiliki nini sijui yanatoka wapi sijui!!

Inawezekana kweli kusaga ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media 'kama utakavyo' lakini hiyo haizuii biashara yake nyingine kufa!!!
Be positive!!
Kwahio Kusaga ataua biashara yake 1 na kuinua biashara yake 1 nyingine sio?
 
Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa...kusaga atoe hisa zake uone kama wasafi itakufa...apeleke hizo hisa Star tv
Wasafi ni brand kubwa investors wote wnaitolea macho

'Unachoshindwa kujua brand ndo kila kitu kuliko hizo hisa'

Hahah unajua maana ya Controlling Interest lkn?
 
Aliekwambia Kusaga ndio mmiliki wa wasafi nani? Kusaga mwenyew kashasema yeye sio mmiliki...ndo yale yale ya Magu kukataa kuongeza miaka..ila makada wanatia upepo tu
Nakubali itakua basi Mmiliki ni Mchungaji Gwajima.
 
Back
Top Bottom