Bifu zilizotikisa: Uhalula vs Nchimbi, Nape vs Nchimbi, Simba vs Shibuda, Mbowe vs Chacha na Makamba jr vs Sugu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,012
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,012 2,000
Siasa zina raha na karaha zake, nasoma hapa namna Iddi Simba na John Shibuda walivyokuwa na bifu kali la kugombea uongozi katika jumuiya ya wazazi CCM.

Tumshukuru Mungu siasa za zama hizi zimekuwa za kistaarabu japo kuna wachache bado wanadhani siasa ni uadui.
Wengine wanatumia ishara za majeneza kuonyesha level ya uadui ilipofikia, Johnthebaptist nadhani hii si sawa kwani hata wale watoto wa NDONDO cup hawafanyi dhihaka hizi.

Nawatakia dominika njema!
 

Forum statistics

Threads 1,378,980
Members 525,246
Posts 33,730,410
Top