Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,227
- 10,082
Nawaza Tanzania yetu ya sasa jinsi inavyozidi kupoteza dira jinsi kiki za mitandaon inavyozidi kuipeleka puta nchi ukija huku sakata la Diamond na wanaharakati ukienda kule bifu la Mange Kimambi na Zari jinsi Zari alivyoporomosha matusi ukija uku Kajala na picha zake japo yeye mwenyewe anapinga.
Kwa yanayoendelea kwa sasa ama kweli watanzania kubadilika kifikra labda tutawaliwe tena. Nawaza upinzani wa Tz umekosa mambo ya kujadili kuanzia wakuu wake mpak vibaraka wamekaaa kujibizana na msanii jambo ambalo ni nadra kilikuta kwa nchi za wenzet cjh wanaelekea wapi wanashindwa kuaplay part yao as a watch dog kwa rulling party wanakaa kushindana na msanii seriously!!
Kwa Hali hii tusimtafute mchawi ni nani?🙏