Bifu za watu maarufu zinavyoendelea mtandaoni

Living Pablo

JF-Expert Member
May 17, 2020
3,208
10,034
Nawaza Tanzania yetu ya sasa jinsi inavyozidi kupoteza dira jinsi kiki za mitandaon inavyozidi kuipeleka puta nchi ukija huku sakata la Diamond na wanaharakati ukienda kule bifu la Mange Kimambi na Zari jinsi Zari alivyoporomosha matusi ukija uku Kajala na picha zake japo yeye mwenyewe anapinga.

Kwa yanayoendelea kwa sasa ama kweli watanzania kubadilika kifikra labda tutawaliwe tena. Nawaza upinzani wa Tz umekosa mambo ya kujadili kuanzia wakuu wake mpak vibaraka wamekaaa kujibizana na msanii jambo ambalo ni nadra kilikuta kwa nchi za wenzet cjh wanaelekea wapi wanashindwa kuaplay part yao as a watch dog kwa rulling party wanakaa kushindana na msanii seriously!!

Kwa Hali hii tusimtafute mchawi ni nani?🙏
 
Mkuu wamenisikitisha mno. Mwanzo mi nilidhani ni wafuasi tu chama kumbe hata viongozi wao wakubwa tu nao wako bize na msanii. Bora ingekua wasanii yani ni msaniii mmoja tu. Jopo la watu kibao linamzonga.
Wanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaa
 
Wanashindwa kujenga chama chao wenyw kiwe thabit wanaingilia kiki za sanaa
Mbowe yupo kanda ya ziwa leo kaanza kanda ya kati . Bawacha wapo mzigoni ukija kila jimbo linajenga ofisi zao hii haijawahi tokea africa. Unataka wajengeje chama. Ni mgawanyo tu wa majukumu
 
Wewe mwenyewe inaonekana una maslahi kwenye genge mojawapo ndio maana unaumia
 
Back
Top Bottom