Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Wafuasi wa WCB wakipongezanza baada ya vita kubwa ya kumtetea Rayvanny.

Mkuu una juhudi sana, hongera sana kwa mapambano.
Nitake radhi, mimi na Wasafi wapi na wapi?

Mimi ni mutu ya Rhumba, niambie kuhusu Boss ya Mboka Papaa Fololo, Ngwasuma, Twanga, huku Nyoshi el saadat na Bogis hizo ndio mambo zangu.

Mambo ya ubongo wa fleva tumewaachia vijana.

Atleast Banana Zoro na Christian Bella hawa ndio best vocalist wangu.
 
Private candidate haina limit hata miaka 50 ruksa kusoma.
.

Kwa... kiswahili inaitwa....... memkwa...huko wanasoma na wazazi wazee . Wamama .wadada vijana..

Ni elimu ambayo unaisoma.nje ya mfumo...hat leaving certificate hawakupi.....
 
Back
Top Bottom