Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Ambacho sijapenda ni Salam kuingiza personal attack Kwa Majan
.
hao waliotoka wcb unawatetea kwasababu wanakulelea binti yako na mke wako wa zamani
.
Sio kauli NZuri yeye angejibu Hoja ya Majani with vivid evidence na Sio personal attacking Kwa mleta Hoja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wote wamechemsha ila Salam amechemsha zaidi, video clip aliyohojiwa P Funk amezungumza vizuri tu, shida inaanza pale alivyomjibu Baba Level kwa kuanza kwa mifano ya kutaja majina na namna ya walivyokandamizwa (kuna harufu ya kuharibu biashara za watu wakati wahusika wenyewe hawajawi kulalamika popote kwamba wanakandamizwa)
 
P-Funk anamwambia Salam "WCB inanyonya wasanii Rayvany kasepa, Harmonaiz nae kasepa.",

Salam akamjibu Majani,,,"hao waliotoka WCB unawatetea kwasababu wanakulelea binti yako na mke wako wa zamani
Salam kapiga kwenye mshono

huyo mwarabu koko ana uswahili mwingi mno,kaambiwa ukweli amepaniki.
 
Hivi unajua heshima ni bidirectional?

Jinsi unavyo behave na ndivyo watu watakavyo watakuchukulia.

Huwezi kuizungumzia biashara ya mtu vibaya kisa tuu kukataa kumpa promo msanii wako halafu akuachie.Wasafi ni brand ya kibiashara ukiizungimzia vibaya utajibiwa.

Mfano nyayua mdomo wako sasa hivi halafu uongee vitu visivyo na evidence kwa brand za Tigo,Vodafone nk halafu uone watakufanya nini?

kwahiyo wasafi ni biashara ya sallam na baba levo

kampuni haiendeshi mambo yake kihuni namna hiyo.

sasa hapa tunatafsiri msimamo wa sallam na baba levo kama msimamo wa kampuni nzima ya WCB,kumbe wamejibu baada ya kuona wanaweza kujibu,baada ya kupigwa na hoja.
 
Kwa hiyo unataka kila mtu akiropoka ajibiwe? Kesho na Mwijaku akiongea ajibiwe,keshokutwa Mange ane ajibiwe?Manake itakuwa mipasho kwa hoja ambazo hazina reference.Sallam Wasafii ni biashara yake sababu yeye Manager wa Diamond na WCB so anahaki ya kuitetea brand.

Kwanza huyo jamaa ana hoja zipi, ana documents yoyote?Hivi unatizama bunge, mbunge akiongea tuhuma zozote bila reference yoyote au ushahidi wanamfanya nini? Hii ni biashara kama ilivyo kwa Tigo,Voda nk hivi mfano leo uizungumzie vibaya TIGO au VODA halafu una ushahidi unazani watakuacha.

Sema tu WCB wanamuheshimu hivi leo wakifungua kesi mahakamani ya kumwambia approve alicho kiongea kama akishindwa awalipe fidia WCB unazani huyo Majani atakuwa na hali gani.

Yote tisa kumi yy kawafanyia nini wasanii waliokuwa chini ya Label yake, wana hatimiliki ya nyimbo zao? Manake COSOTA nilimuona mpunga akienda kuchukua pekee, unaweza ukakuta Ugali na history ya Juma Nature ana haki nazo.

Kumfanya msanii awike mpaka nje ya EA ukazani ni kazi ndogo, kuna wasanii wapo lwenye label nyingine wana nyimbo zaid ya 30,EP zaidi ya mbili still hata show za ndani kupata kazi,ushajiuliza why.Yeye mwenyewe yupo na Raptcha zaidi ya miaka mitatu kamfikisha wapi,why anashindwa?Hajafikia hata level za akina Young D au Msodoki.
 
Mwamba umeupiga mwingi akikujibu nitag
 
kama hakuongea kwa fact na akajibiwa bila fact,zinakuwaje intrest za lebel???

iliyoshutumiwa ni lebel nzima,anajibu sallam.
Kwa navyojuwa Sallam SK sio msemaji wa WCB ila ni manager ambaye kaajiliwa na Diamond so diamond ndio angekuwa na majibu sahihi ila jamaa sio mtu wakumjibu kila mtu
 
Kwa hiyo unataka kila mtu akiropoka ajibiwe? Kesho na Mwijaku akiongea ajibiwe,keshokutwa Mange ane ajibiwe?Manake itakuwa mipasho kwa hoja ambazo hazina reference.Sallam Wasafii ni biashara yake sababu yeye Manager wa Diamond na WCB so anahaki ya kuitetea brand.
kuitetea brand sio kuropoka.
Kwanza huyo jamaa ana hoja zipi, ana documents yoyote?Hivi unatizama bunge, mbunge akiongea tuhuma zozote bila reference yoyote au ushahidi wanamfanya nini? Hii ni biashara kama ilivyo kwa Tigo,Voda nk hivi mfano leo uizungumzie vibaya TIGO au VODA halafu una ushahidi unazani watakuacha.
hana ushahidi umejuaje???wewe unafikiri pfunk ni mgeni wa mambo ya kisheria ndugu???kama wanahisi wamechafuka wafungue kesi lakini sababu yaliyosemwa yamewagusa ndio sababu unaona bondia anang'ata.
Sema tu WCB wanamuheshimu hivi leo wakifungua kesi mahakamani ya kumwambia approve alicho kiongea kama akishindwa awalipe fidia WCB unazani huyo Majani atakuwa na hali gani.
si wewe wala mimi tunaojua kama hata ushahidi.unajua majani sio mwehu mpaka aseme hayo.
Yote tisa kumi yy kawafanyia nini wasanii waliokuwa chini ya Label yake, wana hatimiliki ya nyimbo zao? Manake COSOTA nilimuona mpunga akienda kuchukua pekee, unaweza ukakuta Ugali na history ya Juma Nature ana haki nazo.
umesoma huko juu,kama hutaki ni kiburi.
kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe.
Kumfanya msanii awike mpaka nje ya EA ukazani ni kazi ndogo
hii ni biashara sio msaada.kama unalipwa 60% kwanini uone ni kazi kumtangasa EA!!!
, kuna wasanii wapo lwenye label nyingine wana nyimbo zaid ya 30,
wanalipa 60%??
EP zaidi ya mbili still hata show za ndani kupata kazi,ushajiuliza why.

Yeye mwenyewe yupo na Raptcha zaidi ya miaka mitatu kamfikisha wapi,why anashindwa?Hajafikia hata level za akina Young D au Msodoki.
 
Kwa navyojuwa Sallam SK sio msemaji wa WCB ila ni manager ambaye kasajiliwa na Diamond so diamond ndio angekuwa na majibu sahihi ila jamaa sio mtu wakumjibu kila mtu
labda ndio kazi inayomuweka hapo kujibu watu pumba,zikihitajika.
 
kuitetea brand sio kuropoka.

hana ushahidi umejuaje???wewe unafikiri pfunk ni mgeni wa mambo ya kisheria ndugu???kama wanahisi wamechafuka wafungue kesi lakini sababu yaliyosemwa yamewagusa ndio sababu unaona bondia anang'ata.

si wewe wala mimi tunaojua kama hata ushahidi.unajua majani sio mwehu mpaka aseme hayo.

umesoma huko juu,kama hutaki ni kiburi.
kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe.

hii ni biashara sio msaada.kama unalipwa 60% kwanini uone ni kazi kumtangasa EA!!!

wanalipa 60%??
Sasa P Funk na Sallam nani karopoka?Yaani niizungumzie biashara yako ww halafu mimi nionekane najua kililo wewe si uwehu huu.

Sasa unakataa nini na unakubali nini,haafu unalalamika WCB wana wana wanyonya

"umesoma huko juu,kama hutaki ni kiburi.
kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe."

Kwa hiyo maswala ya Majani wa mwachie Majani na ya WCB wa mwachie pia Majani na ajibiwe kisa Majani kasema?

"hii ni biashara sio msaada.kama unalipwa 60% kwanini uone ni kazi kumtangasa EA!!!"

Kumbe unajua ni biashara sasa unamlaumu vipi Sallam kutetea biashara aliyopewa kazi ya kuimeneji.

Mfano mdogo nenda sehemu ya hadhara halafu sema vitumbua vya mama fulani vina michanga halafu,hauna ushahidi uone huyo mama na watoto wanaotegemea kula kupitia vitumbua uone watakufanya nini.
 
kwenye iyo kesi P Funk alilipwa hela kutokana na mdundo(beat) sio nyimbo nzima
Kwenye ile michaato ya malipo ya COSOTA siku waona wasanii wengi tu wa bongo records.Kama hujui ktk hii issues kulikuwa na mjadala mkubwa mpaka Master akalalamika ktk mgawanyo wazalishaji hawakulipwa nazani mpaka hapa ndipo utajua kuna baadgi ya nyimbo za bongo records ,zina milikiwa label 100%.

Sema tu wasanii waolikuwa chini ya Bongo records wana muheshimu Majani,ila kwa jinsi inavyo one kana wengi wao hawana hati miliki ya baadhi ya nyimbo zilizo rekodiwa bongo records.
 
Majani atulie tu na yeye mbona master j hana maneno
Mbona na yeye kamnyonya kajala mpaka kamzalisha tena akiwa teen
Kajala ndo ametokea kwa Majani. Umaarufu ulizidi alipokuwa secretari au office attendant wake...kila msanii alikuwa anafahamiana na Kajala...

Source: Trust me bro.
 
Sasa P Funk na Sallam nani karopoka?
sallam sk ndiye karopoka.hakujibu hoja iliyoletwa na P.yaani ni bora hata baba level kajaribu kumrudishia lawama kwa aliyoyafanya pia.
Yaani niizungumzie biashara yako ww halafu mimi nionekane najua kililo wewe si uwehu huu.

Sasa unakataa nini na unakubali nini,haafu unalalamika WCB wana wana wanyonya
mimi nalalamika!!!
"umesoma huko juu,kama hutaki ni kiburi.
kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe."

Kwa hiyo maswala ya Majani wa mwachie Majani na ya WCB wa mwachie pia Majani na ajibiwe kisa Majani kasema?
elewa kwanza unachojibu nawewe usiwe kama sallam.sijasema ya majani aachiwe majani.
hoja ya majani ni wasanii kuondoka,huwenda anaipenda WCB kuliko nyinyi chawa mizigo mliopo kwa manufaa yenu hapo,anaumia kuona wasanii wanaoijenga WCB wanaondoka kisa mambo yanayoweza kurekebishwa.
"hii ni biashara sio msaada.kama unalipwa 60% kwanini uone ni kazi kumtangasa EA!!!"

Kumbe unajua ni biashara sasa unamlaumu vipi Sallam kutetea biashara aliyopewa kazi ya kuimeneji.
yeye anatoa % ngapi??
Mfano mdogo nenda sehemu ya hadhara halafu sema vitumbua vya mama fulani vina michanga
kama ni kweli vina mchanga!!!!
halafu,hauna ushahidi
hiki ni kichaa kama cha sallam,kudai mtu na mume mwenzie wanaweza teteana kwa mwanamke mmoja.
uone huyo mama na watoto wanaotegemea kula kupitia vitumbua uone watakufanya nini.
kama wana akili wataondoa michanga.
 
sallam sk ndiye karopoka.hakujibu hoja iliyoletwa na P.yaani ni bora hata baba level kajaribu kumrudishia lawama kwa aliyoyafanya pia.

mimi nalalamika!!!

elewa kwanza unachojibu nawewe usiwe kama sallam.sijasema ya majani aachiwe majani.
hoja ya majani ni wasanii kuondoka,huwenda anaipenda WCB kuliko nyinyi chawa mizigo mliopo kwa manufaa yenu hapo,anaumia kuona wasanii wanaoijenga WCB wanaondoka kisa mambo yanayoweza kurekebishwa.

yeye anatoa % ngapi??

kama ni kweli vina mchanga!!!!

hiki ni kichaa kama cha sallam,kudai mtu na mume mwenzie wanaweza teteana kwa mwanamke mmoja.

kama wana akili wataondoa michanga.
Kwa kesho Mange naye akiongea ajibiwe? Mwijaku naye akiongea ajibiwe? Fulani.....X....y....z akiongea ajibiwe?

Hoja ina ubora upi kutoka ktk reference za uhakika zipi?

Hivi umeiagalia interview Bongo 5,mtu anayetaka kujenga haongei vile,nimeitizama Intvw yake. Yaani naongea ulicho kiongea ww unasema mimi chawa,yaani wengine mlivyo kama SIGARA KALI.

Kama kweli vina mchanga unatakiwa ukibebe kile kitumbua chenye mchanga then unamwambia huku ukiwa umekishika,sasa ww unaongea vitumbua vyako vina mchanga maneno matupu kama yale ya kwenye Khanga.

Unamuattack mtu hasa biashara yake husitegemee kama atachagua la kukujibu lolote lilo karibu yake ataliongea na hata kwenda mbali zaidi swala la kupima mtapima nyie.
 
Kwa kesho Mange naye akiongea ajibiwe? Mwijaku naye akiongea ajibiwe? Fulani.....X....y....z akiongea ajibiwe?
hivi ndivyo kampuni kubwa na zinazoendeshwa kitaalam hufanya.
sasa hapo msemaji wa mwisho ni huyo msomali.nani wa kumkemea??
Hoja ina ubora upi kutoka ktk reference za uhakika zipi?
kwahiyo majani alitakiwa aonyeshe mkataba pale kwenye interview!!kama hajauonyesha basi anachoongea hakina ukweli😀😀😀
Hivi umeiagalia interview Bongo 5,mtu anayetaka kujenga haongei vile,nimeitizama Intvw yake. Yaani naongea ulicho kiongea ww unasema mimi chawa,yaani wengine mlivyo kama SIGARA KAL

Kama kweli vina mchanga unatakiwa ukibebe kile kitumbua chenye mchanga then unamwambia huku ukiwa umekishika,sasa ww unaongea vitumbua vyako vina mchanga maneno matupu kama yale ya kwenye Khanga.
eti eh!!!!kwa sababu anapika vitumbua halafu yeye hali kujua kama vina kasoro??
Unamuattack mtu hasa biashara yake husitegemee kama atachagua la kukujibu lolote lilo karibu yake ataliongea na hata kwenda mbali zaidi swala la kupima mtapima nyie.
alichofanya sallam ni kibaya zaidi,hutakiwi kujibu maswala ya kampuni na biashara kihuni na kiswahili namna ile,haijalishi aliyeongea ni nani na kaongeaje.

sasa hapa watu waelewe kwamba alichosema majani ni uongo ama sallam kaunia sana!!!
 
hivi ndivyo kampuni kubwa na zinazoendeshwa kitaalam hufanya.
sasa hapo msemaji wa mwisho ni huyo msomali.nani wa kumkemea??

kwahiyo majani alitakiwa aonyeshe mkataba pale kwenye interview!!kama hajauonyesha basi anachoongea hakina ukweli😀😀😀

eti eh!!!!kwa sababu anapika vitumbua halafu yeye hali kujua kama vina kasoro??

alichofanya sallam ni kibaya zaidi,hutakiwi kujibu maswala ya kampuni na biashara kihuni na kiswahili namna ile.
Unamkemea vipi meneja anaye isimamia hiyo brand?

Yaah ameongea kama wanavyo ongea akina Mwijaku ,Mange, sasa why ajibiwe yeye....?

"kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe"

Au ndio ☝️☝️ ya MAJANI aachiwe MAJANI ila ya WCB nayo achiwe MAJANI kama ulivyosema ww?

Sasa yeye anashindwa nini kuwaachia WCB wenyewe maswala yao?

Alicho jibiwa hakina ubaya wowote na ndio kishajibiwa na still WCB ina endelea kuimalika.
 
Back
Top Bottom