Bifu la Davido, Wizkid na Burnaboy litaisha salama?

Pass Master

Member
Sep 18, 2020
94
58
Mkali wa Muziki tokea nchini Nigeria 🇳🇬 @davidoofficial , amewashukia Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram kwa kusema kuwa wanaungana ili kutaka kushinda nae Lakini hawatoweza kufanikiwa kwa hilo .

Akizungumza na kituo kimoja cha TV nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka Bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi .

“Unajua Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid Instagram. Mtu wake wa Karibu kabisa aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na Picha ile . Na sasa ivi yeye Pamoja na Wizkid wameungana ili kushindana na mimi Lakini nawambia hawatafanikiwa kwa hilo “ - alisema @davidoofficial katika mahojiano hayo .

Mpaka hivi sasa si @wizkidayo wala @burnaboygram aliyeweza kujibu Mashambulizi ya kauli hii , ambayo kimsingi imeibua Bifu upya kati ya Marshall hawa watatu wa Muziki nchini Nigeria.

Maneno ya Davido yako kwamba Wiz,Burnaboy hawamuwezi

wasafitv_20201006_001537_0.jpg
 
View attachment 1591830
huku kwetu jiwe kaungana na polepole,bashiru, tume ya uchaguzi,polisi na wasanii kushindana na Lissu
Screenshot_20201008-104702.png
 
  • Kicheko
Reactions: vvm
Sasa hapo hilo Bifu liko wapi???ukisoma ulichokiandika wapi kunaonyesha hilo Bifu...hzi habri zakipuuzi tu baada ya kukosa habari
 
Mkali wa Muziki tokea nchini Nigeria @davidoofficial , amewashukia Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram kwa kusema kuwa wanaungana ili kutaka kushinda nae Lakini hawatoweza kufanikiwa kwa hilo .

Akizungumza na kituo kimoja cha TV nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka Bifu baina yake na Burna Boy Pamoja na Wizkid , ila wawili hao wameendelea kumchukia bila sababu ya msingi .

“Unajua Burna Boy alikasirishwa na mimi kupost picha nikiwa na Wizkid Instagram. Mtu wake wa Karibu kabisa aliniambia kuwa @burnaboygram hakupendezwa na Picha ile . Na sasa ivi yeye Pamoja na Wizkid wameungana ili kushindana na mimi Lakini nawambia hawatafanikiwa kwa hilo “ - alisema @davidoofficial katika mahojiano hayo .

Mpaka hivi sasa si @wizkidayo wala @burnaboygram aliyeweza kujibu Mashambulizi ya kauli hii , ambayo kimsingi imeibua Bifu upya kati ya Marshall hawa watatu wa Muziki nchini Nigeria.

Maneno ya Davido yako kwamba Wiz,Burnaboy hawamuwezi

View attachment 1591830
Wavulana wakishiba hupenda kuoneshana misuli
 
Haumjui Konde Boy ? Huyo nasikia ndio hatari zaidi
Usilete masikhara kwenye vitu serious..konde boy ni ntu hatari kibongobongo lakini akiwa huko duniani anatulizwa tu..hakuna mbongo anayeweza kufika level za akina burna,wizkid star boy,davido,rude boy etc hao ni wachawi wa muziki africa,kama unabisha basi baki na ubishi wako
 
Back
Top Bottom