Bifu kati ya Kondeboy na Diamond limeua mziki wetu BASATA ingilieni kati

jinola hamza

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
657
439
Huu ujinga wa bifu la kweli ao kama la kutengeneza la kondeboy na domo limeuwa mziki wetu ..vi mbosso rayvanny alikiba lavalava vyote tu vimepotezwa kwenye ramani ya mzikii kisaa harmonize na domo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hana bifu na huyo mshamba wa tandahimba, huyo mshamba anatafuta attention kupitia Diamond. Diamond zimeungana taasisi kubwa za media na zimemshindwa itakuwa huyo asiyejua hata kupendekeza.
Na hakuna yoyote alopotezwa kati hao uliowataja watu wamefocus kwenye muziki wao unaongea sio makelele, mshamba muache arukeruke atatulia tu sababu hana cha ajabu.
 
Diamond hana bifu na huyo mshamba wa tandahimba, huyo mshamba anatafuta attention kupitia Diamond.
Na hakuna yoyote alopotezwa kati hao uliowataja, mshamba muache arukeruke atatulia tu sababu hana cha ajabu.
acha jazba kijana anatafuta rizki yake wewe tafuta ya kwako
 
DIAMOND PLATNUMZ awezi kuwa na bifu na mtoto mdogo aliyemlea me naona huyo bwana mdogo anatafuta Kiki za kijinga kwa kutumia na baadhi ya watu na Kama atajitambua anaweza asifike mbali mtu ambaye hata miaka 7 tu kwenye game ujafikisha unaanza kupiga kelele.Me namshauri ajite kwenye mziki wake aache uduwanzi.
 
Muziki wa Bongo flavor umejulikana na umekua zaidi kimataifa kwa Sababu ya kazi kubwa ya kiUbalozi anaendelea kutuwakilisha Balozi Diamon Platnum.
Kwahiyo sioni haja ya balozi Diamon Platnum kujilinganyisha na mtu ikao bado ajafikia level yake.
TUWACHE MAJUNGU . TUPENDE ZA KWETU!!!!!
 
Mi naona muziki wa bongo unakua ndani zaidi au labda afrika mashariki lakini ulisema kima taifa bado sana % kubwa wanaimba utumbo
 
Kila mtu anapalilia nnia yake ya chooni.. Ukijua maana ltafuta zana sahihi za kukuwezesha kufanya palizi lasivyo mjini patakuwa pagumu.
 
Diamond hana bifu na huyo mshamba wa tandahimba, huyo mshamba anatafuta attention kupitia Diamond. Diamond zimeungana taasisi kubwa za media na zimemshindwa itakuwa huyo asiyejua hata kupendekeza.
Na hakuna yoyote alopotezwa kati hao uliowataja watu wamefocus kwenye muziki wao unaongea sio makelele, mshamba muache arukeruke atatulia tu sababu hana cha ajabu.
Buuuh domo na familia yake nzima wanaharisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom