Bifu: Don Masha amlipua mzazi mwenzie Dkt. Kumbuka kuhusu matunzo ya mtoto, ajibiwa kwa dharau kuwa aende Ustawi wa Jamii

Mhhhh huyu kumbuka atajisahau sasa ahamie upande wa pili wa jinsia
 
Ndoa
Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na Kumbuka kama ni kweli.

Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha nyuma, Masha alishawahi kukiri kutoka na Kumbuka na akasema kazi anaiweza vizuri tu sema walishindwa kwa ajili ya mdomo, kumbuka anachambana sana, ila sasa hili la kuzaa na Kumbuka Ndo jipya kwangu, kumbe wana mtoto.

Bidada kacharuka insta anadai kumbuka hatoi pesa ya matumizi ya mtoto amechoka.

Yani hapa nikimfkiria Masha alivyo, na Dr. Kumbuka mbavu zinauma khaa, kumbe shostito ana huruma hvyo.

View attachment 1551397
Ndoa ya mataahira
 
Back
Top Bottom