Bifu: Don Masha amlipua mzazi mwenzie Dkt. Kumbuka kuhusu matunzo ya mtoto, ajibiwa kwa dharau kuwa aende Ustawi wa Jamii

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,379
Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na Kumbuka kama ni kweli.

Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha nyuma, Masha alishawahi kukiri kutoka na Kumbuka na akasema kazi anaiweza vizuri tu sema walishindwa kwa ajili ya mdomo, kumbuka anachambana sana, ila sasa hili la kuzaa na Kumbuka Ndo jipya kwangu, kumbe wana mtoto.

Bidada kacharuka insta anadai kumbuka hatoi pesa ya matumizi ya mtoto amechoka.

Yani hapa nikimfkiria Masha alivyo, na Dr. Kumbuka mbavu zinauma khaa, kumbe shostito ana huruma hvyo.

Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na kumbuka kama ni kweli.

Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha nyuma, Masha alishawahi kukiri kutoka na Kumbuka na akasema kazi anaiweza vizuri tu sema walishindwa kwa ajili ya mdomo, kumbuka anachambana sana, ila sasa hili la kuzaa na Kumbuka Ndo jipya kwangu, kumbe wana mtoto.

Bidada kacharuka insta anadai kumbuka hatoi pesa ya matumizi ya mtoto amechoka.

Yani hapa nikimfkiria Masha alivyo, na dr Kumbuka mbavu zinauma khaa, kumbe shostito ana huruma hvyo.
Inamaana hata picha zao huna kabisa?

Wengine huko IG tunapasikia tu kwa watu wengine.
 
Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na Kumbuka kama ni kweli.

Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha nyuma, Masha alishawahi kukiri kutoka na Kumbuka na akasema kazi anaiweza vizuri tu sema walishindwa kwa ajili ya mdomo, kumbuka anachambana sana, ila sasa hili la kuzaa na Kumbuka Ndo jipya kwangu, kumbe wana mtoto.

Bidada kacharuka insta anadai kumbuka hatoi pesa ya matumizi ya mtoto amechoka.

Yani hapa nikimfkiria Masha alivyo, na Dr. Kumbuka mbavu zinauma khaa, kumbe shostito ana huruma hvyo.
Binamu uko vizuri mtaa huu

Jr
 
View attachment 1551397
Kumbe don Masha ndo huyu Mimi nilijuaga atakuwa jamaa Fulani hamble kama jina lenyew sasa jamaa mwenyew ni kama bwabwa mtanisamehe
 
Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na Kumbuka kama ni kweli.

Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha nyuma, Masha alishawahi kukiri kutoka na Kumbuka na akasema kazi anaiweza vizuri tu sema walishindwa kwa ajili ya mdomo, kumbuka anachambana sana, ila sasa hili la kuzaa na Kumbuka Ndo jipya kwangu, kumbe wana mtoto.

Bidada kacharuka insta anadai kumbuka hatoi pesa ya matumizi ya mtoto amechoka.

Yani hapa nikimfkiria Masha alivyo, na Dr. Kumbuka mbavu zinauma khaa, kumbe shostito ana huruma hvyo.

View attachment 1551397
Don Masha kwenye BUNYERO nilijua ni Mwanamme ,sasa imekuwaje Mwanamke ajiite Don?
 
Back
Top Bottom