Bidhaa za ukili

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,178
2,000
Msaada kwenye Mtaro hapo!!Hivi jamani wakuu kwa niaba ya mke wangu ambaye anataka kufanya biashara ya kupeleka bidhaa zilizotengenezwa na ukili! ila sasa mpaka sasa hivi bado tunahangaika kujua haswa huu ukili unaitwaje ktk lugha ya wenzetu(English) ktk description barabara ya kueleweka wakuu!natanguliza shukurani!
 

newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
2,000
:smile-big: kikapu cha ukili kinaitwa Wicker basket ,so nadhani ukili utakuwa unaitwa wicker ,maybe. unataka kuuza wapi?
 

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,178
2,000
:smile-big: kikapu cha ukili kinaitwa Wicker basket ,so nadhani ukili utakuwa unaitwa wicker ,maybe. unataka kuuza wapi?
Anataka kuleta nchi za west! nashukuru sana kwa msaada wako mkuu! ngoja tuifanyie utafiti zaidi. Hizi ni bidhaa zina soko sana huku west lakini zinahitaji indepth descriptions ili customer aelewe exactly anaangalia nini, na hapo ndio mara nyingi huwaga ngumu for many of these tradition items! thanks
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom