MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,485
- 8,701
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya.
Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita sana Kenya, ilihali huku Tuska na Prisner zinazwa na hakuna aye zipiga vita.
Wakenya kutoka Tanzania wanataka raw Material na si kingine kile, wanataka raw materia za kwenda kuprocess bidhaa zao na kuuza nje au kwa nchi jirana kama South Sudan.
Hawa jamaa sio wa kuwachekea kabisa na hapa do tunaweza sana kumkumbuka sana mwenda zake