Hii ni kwa yeyote anaehitaji bidhaa/biashara yeyote kutoka Dubai.
Tafadhali pm
Takujibu jioni nikitoka job, so be patient mkuu
naona ni mgeni,PM yake ilikosea njia ikaja kwangu.mpm maana yaweza kuwa hata thread ameshaipoteza na hajui kuitafuta.Usjali mkuu taileta hapa jukwaani. Lakini sijaona pm toka kwako mkuu
Bongo ya leo imejaa "wapigaji" wengi sana, wewe utatumia strategies gani kujitofautisha na hao wapigaji??Hii ni kwa yeyote anaehitaji bidhaa/biashara yeyote kutoka Dubai.
Tafadhali pm
Bongo ya leo imejaa "wapigaji" wengi sana, wewe utatumia strategies gani kujitofautisha na hao wapigaji??
Yaani mfano nahitaji labda spare ya gari, utaniaminishaje kua nitaipata na hela yangu iko kwenye mikono salama??
Ni Biashara ya Prepay, Postpay au Advance Cash??
Kama ukihitaji naweza nikaiagiza, then ukaenda kuchukua na kulipia.
Sihitaji pesa kabla ya mzigo, nakuletea mzigo unalipia, kwaheri
Kama ukihitaji naweza nikaiagiza, then ukaenda kuchukua na kulipia.
Sihitaji pesa kabla ya mzigo, nakuletea mzigo unalipia, kwaheri