monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,265
- 11,303
Wazo zuri msijali kwa Ilo. Wapo wengi tu since wateja wangu wengi hawatumii hii ndude nitaomba ridhaa yao. Lakini pia kwa wenyeji wa ubungo au wanaomjua jamaa Anaitwa ndula mnaweza mkamuuliza vizuri. Na Nikipita ruhusa nitaweka namba zao wote natumai itasaidia
Nimeweka namba ya WhatsApp kwanza. Sababu mbili kuu. Moja unawasiliana na Mimi wasap na ujiridhishe mwenyewe nikupe na vielelezo. Pili nakupa namba Ya tigo pesa.Bei tumezikubali ila ingependeza ungetoa address mahali pa uhakika pa kupeleka pesa ili iwe rahisi kufuatilia ila ''NITUMIE KWA NAMBA HII 07XX-DDD-DDD jina ni Hussein Ally '' NO!!!! mzee baba
...POOLEE. The choice is your ndugu pole kwa yaliyo kukuta. Karibu Sana tuende sambamba ulimwengu wa fingerprints huu haibiwi mtu. Lakini pia tupe na sisi story tujifunze
Yaah hapo Uko sahihi kabisa mkuu, inshallah upate hapa bongo wakala wa uhakika kama huyo ndula watu wawe wanachukua mzigo kwake physically itapendeza, Mungu akutangulieWazo zuri msijali kwa Ilo. Wapo wengi tu since wateja wangu wengi hawatumii hii ndude nitaomba ridhaa yao. Lakini pia kwa wenyeji wa ubungo au wanaomjua jamaa Anaitwa ndula mnaweza mkamuuliza vizuri. Na Nikipita ruhusa nitaweka namba zao wote natumai itasaidia
Ndio mkuu Mzigo nimetia melini. Inshallah Mda mwengine usicheze mbaliWatu wa magazeti umetuweka kando kwanza daah.
Uskose kutujulisha next time...
Used ni iPhone na Samsung tu mkuu. Kama unataka simu nyengine, utalizia bei ukiona ina make sense Karibu ukiwa na options nyngnNi Iphone pekee au na aina nyingine zipo?
No, ndula ni mtu anaenitilia mizigo kweny mabasi ya mikoani na kuifikisha kwa wenyewe. Wadau kilio chenu nimekisikia. Na ndio inavyotakiwa Wala Hakuna haja ya negativity na mapovu mengi. Nitalifanyia kaziYaah hapo Uko sahihi kabisa mkuu, inshallah upate hapa bongo wakala wa uhakika kama huyo ndula watu wawe wanachukua mzigo kwake physically itapendeza, Mungu akutangulie
Basi mkuu usije ukatuzamisha umu ndaniHuwa nikisimulia hii story najikuta kutoa machozi kama Nape
Upo sahihi. Hakika subira huvuta heriNaanza kusubiria nyuzi za kupigwa zijae hapa!!! Majibu yanajieleza, ngoja muda useme
Mjinga wewe. Jitulize Akuna mrejesho Wala muendeo . Vuta subra ndugu once Nikipita ruusa ya kueka namba za reference Nazani mtatuliza mshonomrejesho wakuu.hakuna hata mmoja humu aliyefanya nae biashara?
Mjinga wewe. Jitulize Akuna mrejesho Wala muendeo . Vuta subra ndugu once Nikipita ruusa ya kueka namba za reference Nazani mtatuliza mshono
J7 prime mpya bei gan?Sio simu used tu. Hadi mpya brand yoyote ile nakuletea. Karibu
Hapa kuna dalili atakuja kulia MTU.
Huyu muuzaji ni wa kumuangalia Kwa makini