Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

Bei tumezikubali ila ingependeza ungetoa address mahali pa uhakika pa kupeleka pesa ili iwe rahisi kufuatilia ila ''NITUMIE KWA NAMBA HII 07XX-DDD-DDD jina ni Hussein Ally '' NO!!!! mzee baba
 
Kila mtu Ana haki yakutoa mawazo yake mkuu

Basi waruhusu uliofanya nae biashara Waje walete mrejesho ili watu waamini kuwa unafanya biashara bila utapeli,
cc youngkato
cc Perimeter
Wazo zuri msijali kwa Ilo. Wapo wengi tu since wateja wangu wengi hawatumii hii ndude nitaomba ridhaa yao. Lakini pia kwa wenyeji wa ubungo au wanaomjua jamaa Anaitwa ndula mnaweza mkamuuliza vizuri. Na Nikipita ruhusa nitaweka namba zao wote natumai itasaidia
 
Bei tumezikubali ila ingependeza ungetoa address mahali pa uhakika pa kupeleka pesa ili iwe rahisi kufuatilia ila ''NITUMIE KWA NAMBA HII 07XX-DDD-DDD jina ni Hussein Ally '' NO!!!! mzee baba
Nimeweka namba ya WhatsApp kwanza. Sababu mbili kuu. Moja unawasiliana na Mimi wasap na ujiridhishe mwenyewe nikupe na vielelezo. Pili nakupa namba Ya tigo pesa.

NASISITIZA please usitume pesa Kama unamashaka. Biashara ni pande mbili za makubaliano ukiona midosho kausha juu kwa juu. Ahsantum
 
Wazo zuri msijali kwa Ilo. Wapo wengi tu since wateja wangu wengi hawatumii hii ndude nitaomba ridhaa yao. Lakini pia kwa wenyeji wa ubungo au wanaomjua jamaa Anaitwa ndula mnaweza mkamuuliza vizuri. Na Nikipita ruhusa nitaweka namba zao wote natumai itasaidia
Yaah hapo Uko sahihi kabisa mkuu, inshallah upate hapa bongo wakala wa uhakika kama huyo ndula watu wawe wanachukua mzigo kwake physically itapendeza, Mungu akutangulie
 
No, ndula ni mtu anaenitilia mizigo kweny mabasi ya mikoani na kuifikisha kwa wenyewe. Wadau kilio chenu nimekisikia. Na ndio inavyotakiwa Wala Hakuna haja ya negativity na mapovu mengi. Nitalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom