Huseni Ali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 289
- 187
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu s7edge unauzaje milion 7...basi kama ni typing error rekebsha ili tujue bei halisiNdugu Umeona wapi milioni Saba??
Anauza vitu gali sana..wakati bei inajulikana, hiv kweli s7 edge mtu anauza milion 7? Si bora niongeze nibebe hiyo gari hapo anayouza milion 30.umeamua kuchomoa betri kabisa
Anauza vitu gali sana..wakati bei inajulikana, hiv kweli s7 edge mtu anauza milion 7? Si bora niongeze nibebe hiyo gari hapo anayouza milion 30.
Haha kweli, bei zina vary mkuu. Ila ni ndogo kwa faida ya wengiKosa kubwa sana muuzaji hajaweka bei ya vitu alivyo post hapo
Sijaiona iyo error Wacha niangalie vizuri aiseeSasa mkuu s7edge unauzaje milion 7...basi kama ni typing error rekebsha ili tujue bei halisi
Boss Ilo swali gumu mno, kwasababu Kuna kila gari na bei yke Sijui wewe unataka Ipi. Lakini Kuna wengine hua mnatega watu natumai wewe sio miongon mwaoIST, RAUM, PASSO, VITZ, used sh.ngapi kila moja, nijibu hapa hapa
Hujamwelewa bado lengo ni Uweke bei za izo BIDHAA zako unazouza.Sijaiona iyo error Wacha niangalie vizuri aisee
Jitahid kuangalia useme ni kias gani umeandika mana inaonekana tofautiSijaiona iyo error Wacha niangalie vizuri aisee
Nimeuliza zote, maana ake nataka bei za zote, jibu hapa hapaBoss Ilo swali gumu mno, kwasababu Kuna kila gari na bei yke Sijui wewe unataka Ipi. Lakini Kuna wengine hua mnatega watu natumai wewe sio miongon mwao
Haha aya mambo ya mipasho siyawezi nitaweka kaka UsijaliHujamwelewa bado lengo ni Uweke bei za izo BIDHAA zako unazouza.
Hehnmeuliza zote, maana ake nataka bei za zote, jibu hapa hapa
Buku mbili KakaVivi nikihitaji kuagiza cement huko mfuko mmoja unaweza gharimu kiasi gani?
Kweli kabisaMaendeleo hayana chama
Mkuu,Yan hiyo s7 edge unauza milion 7? Kwa tanzania huez pata mteja wa milion 7 kwa s7 edge?
Milion 7 simu? Hapana.
Tz hii...ngoja aje abishe kwamba hiyo friji siyo milion 8Mkuu,
Mbona na hiyo friji anayoiuza milioni 8 na nusu haujamchana ukweli kuwa kibongobongo hatoboi?