Karibu nikusaidie kuagiza bidhaa kutoka United Arab Emarates (UAE)

Mhhhh mm sipatikani kirahisi ivi, nipe nikupe ata ka nikufuate zenji lkn sio nitume pesa alaf mzigo baadaye
NASISITIZA BILA YA MALIPO SICHUKUWI SIMU ATA UTAKE MIA HIZI. KAMA MNAVOKUJA KUTAKA MUPEWE DETAILS NA ASSURANCE YA USALAMA WA PESA ZENU.

HII NDIO ASSURANCE YANGU MIMI.

NACHUKUA SIMU KWA WATEJA NILIOFANYA NAO KAZI TU.

SIJAMLAZIMISHA MTU. THIS IS MUTUAL AGREEMENT. KILA MTU ARIDHIKE View attachment 1204173
 
hakika nawaembieni huyu ni tapeli sasa nyie jilogeni tumeni pesa eti mzigo badae mtamkumbuka kevin isaya soon hata kama watu wawili watatatu wakipata mzigo sio kwamba hataweza kutapeli wanaofata hata kevin baadhi yao wachache walipata mzigo kama kidhibitisho ili wengine waendelee kutuma pesa mzigo ufate. NB ukitaka kuepuka matatizo vitu viende in cash toa pesa pata mzigo mambo ya kuanza kupigana calender ndo mwanzo kulizwa unapoanzia
 
Ahsantum kwa mawazo
 
Account yako ikiwa inasomeka hivi kua huru. Kuagiza chochote. Tunamalizana nakuletea Mzigo. Apart from this sorry.
IMG_20190912_113034.jpeg
 
Hapo walau tumeelewana sasa ofidi yako wapi nije tufanye biashara mkuu?
Boss Sina ofisi, na Nimeacha pokea oda once Nikipita gari mbili tatu ivi nitaku Pm. Najua Mzigo upo Ishu sana Naona wataka magazeti mmeniandama kwa fujo
 
Vyengine muchukue bongo tu wakuu. Body spray mbili unataka nikubebee huku sio Haki Kabisaa
 
Vyengine muchukue bongo tu wakuu. Body spray mbili unataka nikubebee huku sio Haki Kabisaa

Mie nakuelewa sana kiongozi hasa nikiangalia hiyo Avatar yako.

Sasa wasiokuelewa waache hivyo hivyo wasikuelewe ila mwisho wake watakuelewa tu mkuu...!

Hongera sana kiongozi. Ahsantum.
 
Back
Top Bottom