Bidhaa kupanda bei, serikali imewatosa wananchi

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Katika hali ya kusikitisha bidhaa kama vile sukari na nyinginezo zimepanda bei na kufanya maisha kuwa magumu kupindukia.

Jambo la kusikitisha ni kwamba serikali haichukui hatua yoyote na hivyo wananchi kuendelea kuteseka. Hata inapotokea serikali kutoa tamko la kushusha bei ya bidhaa, bei mpya hudumu kwa siku chache kama ilivyowahi kutokea katika bei ya sukari na mafuta.

Wasiwasi wangu ni kwamba pengine muda wa kuchapana viboko umekaribia kama alivyosema waziri mkuu Mh. Pinda majuzi alipokuwa Korogwe.
 
hawaoni yanayotokea huko Israel na kwingineko? They should read the time if they are wise enough.
 
Back
Top Bottom