Bidhaa iliyoharamishwa kama dawa za kulevya kuwa na bei ya soko inakuwaje?

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
Source: BBC Idhaa ya Kiswahili matangazo ya saa 12.30 jioni

Polisi inawashikilia watu wanne (4) - watu wawili raia wa Pakistani na wengine wawili raia wa Tanzania kwa kukamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Dola za kimarekani 2,000,000.

Kama madawa ya kulevya yameharamishwa bei ya soko inapatikanaje?. Mbona Polisi wakikamata gongo huwa hawasemi thamani yake? Wenye habari naomba tuu mnijuze namna bei inavyopatikana kwa dawa za kulevya au ni haramu kwa baadhi ya nchi tuu?
 
ndio dunia ndio tasnia ya habari! hata hapa bongo wakikamata madawa ya kulevya wanasema thamani yake...ili kuwavuta wengine wajaribu bahati yao,najua imeishawahi kulalamikiwa lakini who cares
 
dah.hawa watu wa madawa watakuwa wanachomaana.guys just thnk ki2 cha gharama kubwa kiac hcho.hwa drugdealers wasiwe na precausions?i hv seen dis @ITV
 
ndio dunia ndio tasnia ya habari! hata hapa bongo wakikamata madawa ya kulevya wanasema thamani yake...ili kuwavuta wengine wajaribu bahati yao,najua imeishawahi kulalamikiwa lakini who cares

Swali langu la msingi polisi wanaposema wamekamata say kilo 170 za Cocaine za thamani ya USD 2,000,000 hii bei wanaipata wapi kama bidhaa imeharamishwa? Pili kama ina thamani hata polosi wenyewe hawawezi kuwa tempted kuiba kidogo? Ushahidi wenye thamani ya USD 2,000,000 unahifadhiwa katika ulinzi wa namna gani au wanaenda kudeposit huo ushahidi benki ili wauhifadhi?
 
Jibu ni kwamba dawa hizo zinazotumika na mateja kama za kulevya ni dawa za kawaida zinazotumika mahospitalini kama nusukaputi.
Kwahiyo bei zake zinajulikana wazi, ila ofcourse kwa vile zinatumika kwa matumizi illegal na zinapatikana kwa unadra, kunakuwa na super-hiking.
You got me right?
 
Ahsante kwa ufafanuzi wako. Nithibitishie kuwa Serikali itakuwa imeokoa USD 2,000,000 ambazo zingetumika kununulia nusu kaputi kutokana na uhalifu huu!!!!
 
hivi wakati wa kuziharibu mbona hawatuonyeshi ktk tv au live tuje tushuhudie zikiharibiwa :)
nakumbuka kesi jamaa alikamatwa na Gongo lita 40,ushahidi ukaletwa ktk dumu la lita5 jamaa alikataa ushaihidi,akauliza mahakama alishikwa na lita40 kama mashtaka yanavyosema,so upande wa mashtaka haukuwa na lita 35 .ilibidi aachiwa kwa kukosa ushahidi.Bongo no security ya ushahidi ktk police zetu.
 
Ahsante kwa ufafanuzi wako. Nithibitishie kuwa Serikali itakuwa imeokoa USD 2,000,000 ambazo zingetumika kununulia nusu kaputi kutokana na uhalifu huu!!!!
Kuna aina nyingi za madawa ya kulevya kama cocaine, bangi, prescription drugs ambazo zinatumika sana majuu nk nk.
Zinazokamatwa bongo mara nyingi ni cocaine na brown sugar, huwa zinakuwa zimetengenezwa kienyeji zaidi so hazifai kwa matumizi ya hospital kama mdau anavyofikiria.
Dawa hizi zikikamatwa zinahifadhiwa na idara ya polisi inayoshughulikia madawa ya kulevya, wako / walikuwa pale Kurasini.
Kuhusu bei ni kwamba mara nyingi utasikia wakisema ni bei ya soko lisilo rasmi au black market, hata kwa nchi kama UK ambapo wanaruhusu utumiaji wa cocaine bado hakuna soko rasmi la dawa hizo, ukikamatwa unauza unaenda na maji, ruhusa kuvuta tu.
 
Back
Top Bottom