N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Unauliza nini mjomba, vyote viliondoka na Mwalimu imebaki historia tu
Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?
Tanbond margarine
Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
Dawa ya meno ya White Dent
Baiskeli aina ya Swala
Majembe na mapanga ya UFI...
...na vinginevyo.
Mi nazikumbuka radio za philips tu. Sijawahi tena kuona kifaa cha elektroniki kimeandikwa Made in Tanzania.
Nimeikumbuka Mafuta ya Shanti na Yolanda kweli leo
Raba za DH.
Kuna wakati ambao bidhaa mbalimbali zilikuwa zinatengenezwa Tanzania na zilikuwa zinatumiwa humo nchini. Je bidhaa hizi bado zinatengenezwa na kupatikana madukani?
Tanbond margarine
Supa Ghee Sabuni za Gardenia na Mbuni
Dawa ya meno ya White Dent
Baiskeli aina ya Swala
Majembe na mapanga ya UFI...
...na vinginevyo.
magongo mkuu.

Viatu vya bora na chachacha