Bidhaa feki jamani!!! Za kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bidhaa feki jamani!!! Za kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Wapendwa kuna dada mmoja alikuwa sister du mtaani
  akamkamata mchina mmoja wamefanikiwa kupata mttoto wa kike
  kwa bahati mbaya ma juzi mtoto alifariki dunia kwa kweli ni huzuni kubwa

  matokeo yake wamekuja ndugu zake mwanamke toka mbeya wanaanza kusema
  ovyo mara ooh mi nilijua tu hizi bidhaa za kichina feki tupu akuna original
  mi kama mi sitozaa na mchina hata kidogo achelewi kunizalisha ""DOGOLI""bila kujua

  Jamani mbona mali zao mnazipenda mnazitumia ikitokea matataizo mnaanza kuwaka feki feki si ubiandamu nao ni watu kama sie jamani......kama wanatuleteea bidhaa feki sidhan mpaka
  kwenye sperms wanatuletea feki haya yetu macho

  Polen wafiwa
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakwe wenyewe wa wapi? Kyera?!.........Mimi sisemi....!!!! Tena simo:becky::becky::becky:
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Duuh.. ama kweli duniani kuna majimamboz!! Yaani hata watoto siku hizi wanaweza kuwa feki?! Inasikitisha.:confused2:
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wakati huyo dada anawapelekea zawadi alizonunua kwa pesa ya mchina mbona hawakusema kuwa ni za kichina? Mpeni pole huyo dada!
   
 5. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tutafanyaje tanzania kila kitu feki ,.....ata computer unayatumia ya kichina
   
 6. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo ndo tz hutaki hamaaaaaaaaaa
   
Loading...