BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,792
- 287,994
Yaliyotokea ni muvi? Kuwa makini Mkuu!
Asante kwa kuchangia. Upi unaona ni utani katika ninayoyazungumzia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuchangia. Upi unaona ni utani katika ninayoyazungumzia?
Utaona kwamba kuanzia OP, tuliweka wazi kwamba tusiofungamana na upande wowote tunafuatilia uchaguzi wa Marekani kama tunaotazama muvi. Hii ni kwa vile matukio yote tunayasikia kupitia matangazo ya masafa. Kwa hiyo mkuu BAK tujalie maelezo mahsusi mintarafu namba 1. mpaka 7. kama zilivyonukuliwa hapo juu, ili kutujuza yanayojiri kwa ukaribu zaidi, ikiwa utaona vema kufanya hivyo au ikikupendeza.
Kwa nini unaona hayo yaliyoandikwa ni vichekesho? Kwani kila muvi ni ya vichekesho?Narudia tena kuna jukwaa la vichekesho. Hao waliokufa kutokana na hili sakata wangekuwa wanakuhusu kwa namna moja au nyingine usingeandika huo upuuzi wako. Mijadala tuipe uzito unaostahili au peleka kwenye vichekesho.
Ndugu yangu akili ndogo inalitazama hili jambo kama la utani...what is happening in the US right now is much greater than two individuals, greater than Donald Trump and definitely greater than Joe Biden. The US is an experiment, the world experiment and if the US was to collapse, the whole world would be in great danger.Mkuu watu wanapojadili mambo ya maana ambayo watu wamefariki usilete utani wa kipuuzi. Kuna jukwaa la vichekesho huu upuuzi wako peleka kule utapata wachangiaji.
Mkuu kuna watu wana argue kama watoto wadogo waliozaliwa jana waki"quote" mambo wasiyoyaelewa...Excellent analysis Mkuu 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽
No. 7 is a million dollar question as we speak. The so called developed countries have been spooked by BITCOIN. They are not sure what will come in the near future. HSBC (UK) biggest bank warned the public last week that they may loose everything by entertaining the Crypto currency by involving FCA (Financial Conduct Authority) which lead BITCOIN to fall sharply from around $40,000 a coin to almost $23,000, although it has recovered now trading at $32,000 a coin.
Is gold going to be the saviour? Time will tell.
Trump anaanza upyaYou know the game is over. Finito. Koniec.
Demokrasia gani, watu wameandamana Jan 6, wamekamatwa, mpaka sasa hawajafunguliwa mashitaka. Msichague mnayoyataka kwenye demokrasiademokrasi ya USA inaweza kuchezewa chezewa hovyo na wahuni