Biden "Endapo Urusi itatumia silaha za Nyukilia Ukraine itakutana na jibu ambalo halijawahi kushuhudiwa kwenye vita yeyote ile ulimwenguni"

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Hivyo ndivyo unavyoweza kuutafsiri msimamo wa Biden kuhusiana na kitisho cha Urusi kutumia silaha za Nyukilia Ukraine. Endapo Putin atajaribu kutumia Nyukilia ndiyo utakuwa mwisho wa wake.

Kauli hii ya Biden ni kauli ya kujiamini muno na kwa upande mwingine inadhihirisha NATO tayari wanajua madhahifu ya Urusi kivita tofauti na awali na Wana uhakika Urusi haiwezi kushinda vita hii. Endapo Urusi itajaribu kutumia Nyukilia ndiyo utakuwa mwisho wake.

Mara zote USA utoa onyo kimzaa mzaa lakini majibu yake waga ni ya kutisha muno, Japan ndiyo taifa la mfano lilikutana na jibu katili muno na kamwe hawawezi kuchezea onyo la USA kwenye suala ya usalama.

Putin kashaanza kunusa hii vita hawezi kuishinda ndiyo maana kwa sasa ameanza kushinikiza mazungumzo ya kumaliza vita.

Je litakuwa jibu gani? Sote hatujuhi, hivyo tunaweza kubashiri na kusubiri tuone.

====================

Biden amuonya Putin asitumie silaha za kimbinu za Nyukilia

Biden amuonya Putin asitumie silaha za kimbinu za nyuklia
Rais wa Marekani Joe Biden ameionya Urusi isitumie silaha za kemikali au silaha za kimkakati za nyuklia katika vita nchini Ukraine.
Akizungumza wakati wa mahojiano na CBC News, Bw Biden alisema hatua ya aina hiyo "itabadilisha sura ya vita; tofauti na kitu chochote kile tangu Vita ya pili ya Dunia".

Hakusema ni vipi Marekani itajibu iwapo silaha za aina hiyo zitatumika.

Rais wa Urusi Vladimir Putin aliviweka vikosi vya nyuklia vya nchi yake katika hali ya tahadhari "maalumu" kufuatia uvamizi wake katika Ukraine mwezi Februari.

Aliwaambia wakuu wa ulinzi ni kwasababu ya ‘’kauli za uchokozi’ za Magharibi.

Silaha za nyuklia zimekuwepo kwa karibu miaka 80 na nchi nyingi zinaziona kama njia kukomeshwa kwake kama njia inayotoa hakikisho kwa usalama wa taifa lao.

Urusi inakadiriwa kuwa na na vilipuzi vya nyuklia takriban 5,977, kulingana na Shirikisho la wanasayansi wa Marekani.

Hatahivyo, huenda isiwe na uwezekano wa kutumia silaha hizo.

Silaha za mbinu za nyuklia ni zile zinazoweza kutumiwa katika masafa mafupi, tofauti za silaha za "kimkakati" za nyuklia ambazo zinaweza kupiga katika masafa marefu na kusababisha vita kamili vya nyuklia.

Katika mahojiano ya dakika 60 na mwandishi wa shirika la habari la CBS Scott Pelley katika Ikulu ya White House, Rais Biden aliulizwa ni nini angemwambia Putin iwapo anaangalia uwezekano wa kutumia silaha za maangamizi nchini Ukraine.

"Usifanye, usifanye, usifanye," lilikuwa jibu la Rais Biden.

Bw Biden aliylizwa pia ni athari zipi zitakuwa kwa Bw Putin iwapo mstari huo utavukwa?

"Unafikiri nitakwambia iwapo ninajua ni nini? Bilas haka, sitakuambia. Itakuwa na athari," Alijibu Bw Biden.

"Watatengwa zaidi katika dunia kuliko ilivyowahi kushuhudiwa. Na itategemea ni kwa kiwango gani cha kile watakachofanya ndicho kitakachoamua jibu litakalotokea’.’

Vita vya Ukraine havijaisha pamoja na matumaini ya Kremlin.

Katika siku za hivi karibuni, Ukraine inasema imechukua upya zaidi ya kilomita za mraba 8,000 (au maili za mraba 3,088) za eneo katika jimbo la Kaskazini – mashariki la Kharkiv.

Licha ya kurudi nyuma, Rais Putin amesisitiza kwamba mafanikio ya Ukraine kukabiliana na mashambulio hayataizuia Urusi kuendelea na operesheni zake katika mashariki mwa nchi.

Hapa chini ni idadi ya vilipuzi vya Nyukilia

Screenshot_20220918-110100_1.jpg

Chanzo cha taarifa Aljazaera, CNN, BBC.
 
View attachment 2360473

Chanzo cha taarifa Aljazaera, CNN, BBC.
Kawashindwa Taleban ataweza Kwa Russia zaidi kubweka kama jibwa koko lenye njaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Biden ni mtambo unaoishi ikulu ndio maana ana matukio mengi ya kijinga mara aanguke kwenye ngazi ya Ndege , mara aanguke na baiskeli mara ajinyee
IMG_20220914_163726_627.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Biden anaweweseka maana anajua vita na Russia lazima ipiganwe kwenye ardhi ya marekani,kuna nyambizi za Russia zipo tayari kwa mashambulizi kupeleka Marekani
 
Hakuna taiafa hapa Duniani linaloweza Kupiga kwenye Ardhi ya Marekani, ikitokea hilo taifa litafutwa haraka kwenye ramani ya dunia.
Nyooo....kwa uzaramoo wako huo unawaza kucheza vigoma tuu..shwaini..utumwaa umemaliza vizaz vyako na bado unakumaliza na ww pia..shwain.. na bado mmeambiwa msijenge bomba la mafuta..pumbavu zenu..nyani weusi nyie
 
Umesahau wakati Russia hajaingia ukraine alisemaje?? Na hujamalizia mpaka mwisho acha nikusaidie

🇺🇺If Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will have consequences and Russia will become "an even greater outcast,"Biden said.

When the journalist clarified what the consequences would be if Vladimir Putin crossed this line,Biden president remained silent
 
Kwa jinsi nilivyokua naigopa russia kwenye mambo vita@Kwa hii opparesion ya ukraine nimeiondolea maksi nyingi sana.kale kanchi nilijua ni siku 20game over.sasa ndio nimejua kwanini jk aliamua kumtema Kagame kipindiile alipokua akileta zarau
 
Back
Top Bottom