Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,424
- 9,358
Sasa kama ana afya mbaya ya kiakili kuwa rais kuna faida gani hata kama tasisi ziko imara?Cha ajabu kipo sana tu kama taasisi hazipo imara.Unajua Rais ni mtu ambae akili yake inatakiwa kuwa fit sana.Uzee mwingi na Urais haviendani kabisa kwa sababu vyote viwili huwa vinakula sana akili lakini kwa kuwa Marekani ina taasisi imara hakutakuwa na shida yoyote.
Jambo kama hilo likitokea katika nchi za Afrika kama vile Tanzania ambapo Rais ndiye bunge,ndiye mahakama,ndiye polisi,ndiye TISS,ndiye mawaziri na kadhalika ni hatari sana kwa usalama wa nchi na ustawi wake.